Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaah. .....mambo mengine bwanaAlitaka ripoti ya kwanini wanafanya uzembe kwa kuua na kuleta taharuki badala ya kupoteza kama ilivyo desturi yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaah. .....mambo mengine bwanaAlitaka ripoti ya kwanini wanafanya uzembe kwa kuua na kuleta taharuki badala ya kupoteza kama ilivyo desturi yao.
Hahaha.......DaahKifo ni kifo tu.
Hiyo ripoti alisema atakupa wewe?"Haraka" kwa mujibu wa 4R ni milele.
Kifo ni kifo, na kifo ni drama au unasemaje mtoto wa kisiwani?Hiyo ripoti alisema atakupa wewe?
Muuaji alikua anachapia tu.Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana watekaji wengi wa watu hasa mashuhuri ni hao hao Polisi na usalama. Mo alitekwa , Lussu alipigwa risasi hatujawahi kuona ripoti yeyote.
Swali kuna mtu hata mmoja anajua Mama anaposema ripoti apewa haraka ni hasa kwa muda gani? Mwezi, Mwaka, siku au ...... ukweli ni kwamba ni siasa tu hakuna ripoti. Ikifika sehemu maneno ya Raisi yanapuuzwa na iwe danganya toto iko siku hao hao Polisi na usalama watamgeuka na wataona powa.
Ulitaka ripoti za rais upewe wewe?Muuaji alikua anachapia tu.
Ukiwa huna akili huna tu, bora shetani marehemu hakuwahi kusema mauaji yachunguzwe
Lissu mpaka leo.Hiyo ripoti alisema atakupa wewe?
sasa alitamka hadharani ili iwe nini si angeongelea chumbani kwake na wauwaji wenzakeUlitaka ripoti za rais upewe wewe?
Kama unawajuwa wauwaji na ni wenzake, si uende ukawashitaki mahakamani?sasa alitamka hadharani ili iwe nini si angeongelea chumbani kwake na wauwaji wenzake
Alikuwa anapooza tu hasira ya umma, lakini yote yaliyofanyika yalikuwa na baraka zake. Hakuna ripoti yoyoye itatolewa, na ikitolewa itajaa upotoshaji mwingi.Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana watekaji wengi wa watu hasa mashuhuri ni hao hao Polisi na usalama. Mo alitekwa , Lussu alipigwa risasi hatujawahi kuona ripoti yeyote.
Swali kuna mtu hata mmoja anajua Mama anaposema ripoti apewa haraka ni hasa kwa muda gani? Mwezi, Mwaka, siku au ...... ukweli ni kwamba ni siasa tu hakuna ripoti. Ikifika sehemu maneno ya Raisi yanapuuzwa na iwe danganya toto iko siku hao hao Polisi na usalama watamgeuka na wataona powa.
Mahakama hizi hizi za kupigiwa simu moja?Kama unawajuwa wauwaji na ni wenzake, si uende ukawashitaki mahakamani?
Au unaji-mwambafai nyuma ya keyboard tu?
Hujajibu swali, ulitaka ripoti aliyoitaka Rais upewe wewe?Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana watekaji wengi wa watu hasa mashuhuri ni hao hao Polisi na usalama. Mo alitekwa , Lussu alipigwa risasi hatujawahi kuona ripoti yeyote.
Swali kuna mtu hata mmoja anajua Mama anaposema ripoti apewa haraka ni hasa kwa muda gani? Mwezi, Mwaka, siku au ...... ukweli ni kwamba ni siasa tu hakuna ripoti. Ikifika sehemu maneno ya Raisi yanapuuzwa na iwe danganya toto iko siku hao hao Polisi na usalama watamgeuka na wataona powa.
Hujajibu swali, ulitaka ripoti aliyoitaka Rais upewe wewe?
Hapana, siyo kweli.Ripoti zikitoka Raisi anatakiwa kutangaza kama alivyotangaza wachunguze!
Imefika wakati wengine hapa mnatetea mpaka ujinga sasa. Hata hamjitambui tena. Yaani watu wanauliwa nyie mnatetea tu kila kitu🤔 kuna siri gani kwenye hizi ripoti… yaani wauaji ni siri siku hizi.
Watu wanajuana kwa vilemba kweli
Hapana, siyo kweli.
.Ripoti nyingi sana hupaswi hata kuzisikia wala kuziona.
. Kwa kukujuza tu, Rais ana vyombo vingi vya dola na kila kimoja kinaweza kufanya uchunguzi kikampelekea bila hata hivyo vyombo vyenyewe kujuwana.
Na yeye anazifanyia kazi ripoti na kuzifanyia maamuzi ipaswavyo na anavyoona sawa kwa wakati huo.
Unaweza kuwa mchunguzi wa chombo kimoja na wewe unachunguzwa na chombo kingine, kwa jujijuwa au bila hata kujijuwa.
Rais kishaamuru yafanyiwe uchunguzi, elewa inafanyika hivyo.
Kwa Rais ndiyo "where the buck stops".
Haraka kwa Afrika ni kuanzia miaka kumi.Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana watekaji wengi wa watu hasa mashuhuri ni hao hao Polisi na usalama. Mo alitekwa , Lussu alipigwa risasi hatujawahi kuona ripoti yeyote.