Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

😀😀😀 Tuendelee kuongeza petrol kwenye moto. Uchunguzi wa haraka wa mtu aliyeshushwa kwenye Bus kwenda kukuwawa, bila shaka “haraka” ilitakiwa iwekewe deadline.

Lakini aliomba uchunguzi wa haraka kabla hajaitwa shereheni kwenda kutufokea.
 
Ni muhimu mno pakawepo na ustahimilivu na subra kwenye hilo,

Nadhani sote ni mashuhuda kwa jinsi ambavyo mashahidi muhimu hususani kutoka vyama vya siasa nchini , wanavyokaidi na kudinda kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi mpaka walazimishwe. Huo ni miongoni mwa ucheleweshaji wa makusudi wa muafaka wa jambo hilo..

Na hilo nadhani linaweza kuibua mashaka zaidi na na kuonyesha picha halisi ya ugumu wa kufikia muafaka wa mapema kuhusu jambo hilo baya zaidi kutokea Tanzania.

Nachelea kutoa rai kwa wananchi wenzangu wote, kuwa watulivu, wakati uchunguzi ukiendelea, ili hatimae ukweli wa mambo na wahusika waweze kujulikana na kuchukuliwa hatua mujarabu za kisheria, kwa dhuluma waliyoifanya kwa mwanadamu mwezao [emoji205]

Ina maana Tanpol inazidiwa na wanasiasa kwenye mambo ya msingi kama haya ya mauaji??
 
Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana watekaji wengi wa watu hasa mashuhuri ni hao hao Polisi na usalama. Mo alitekwa , Lussu alipigwa risasi hatujawahi kuona ripoti yeyote.

Swali kuna mtu hata mmoja anajua Mama anaposema ripoti apewa haraka ni hasa kwa muda gani? Mwezi, Mwaka, siku au ...... ukweli ni kwamba ni siasa tu hakuna ripoti. Ikifika sehemu maneno ya Raisi yanapuuzwa na iwe danganya toto iko siku hao hao Polisi na usalama watamgeuka na wataona powa.
Kwani aliiomba akupe wewe?
 
Hivi ni kweli kabisa ukimuamini!?
 
Alitaka ripoti ya kwanini wanafanya uzembe kwa kuua na kuleta taharuki badala ya kupoteza kama ilivyo desturi yao.
 
Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana watekaji wengi wa watu hasa mashuhuri ni hao hao Polisi na usalama. Mo alitekwa , Lussu alipigwa risasi hatujawahi kuona ripoti yeyote.

Swali kuna mtu hata mmoja anajua Mama anaposema ripoti apewa haraka ni hasa kwa muda gani? Mwezi, Mwaka, siku au ...... ukweli ni kwamba ni siasa tu hakuna ripoti. Ikifika sehemu maneno ya Raisi yanapuuzwa na iwe danganya toto iko siku hao hao Polisi na usalama watamgeuka na wataona powa.
Ile ilikuwa kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
Ina maana Tanpol inazidiwa na wanasiasa kwenye mambo ya msingi kama haya ya mauaji??
haitakua sahihi kusema ndio au hapana hali ya kua uchunguzi unaendelea.

hata hivyo ni mapema mno kujaji jambo hili nyeti na linalohitaji umakini, utaalamu na utulivu kubwa kwenye kubabainisha ukweli na kufikia muafaka. Subra ni muhimu sana 🐒
 
Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana watekaji wengi wa watu hasa mashuhuri ni hao hao Polisi na usalama. Mo alitekwa , Lussu alipigwa risasi hatujawahi kuona ripoti yeyote.

Swali kuna mtu hata mmoja anajua Mama anaposema ripoti apewa haraka ni hasa kwa muda gani? Mwezi, Mwaka, siku au ...... ukweli ni kwamba ni siasa tu hakuna ripoti. Ikifika sehemu maneno ya Raisi yanapuuzwa na iwe danganya toto iko siku hao hao Polisi na usalama watamgeuka na wataona powa.
Mbona report aliitia kwenye hotubavyake ?? Alisema Kifo ni Kifo.....hiyo fulk report njombaaaa
 
Siku hiyo report ikifika kwa Samia njooo uniite 🐕 nimekaa pale!
 
Kwani aliiomba akupe wewe?

Mama Samia alitangaza mwenyewe kwa Media ni Media hiyo hiyo ndiyo anatakiwa asema amepata ripoti. Sio lazima atupe yote ya ndani ya ripoti. Ukisemwa kwenye media unajibu kwenye media! . Kama alitaka kufanya siri kwanini alitangaza kwenye media!

Mama habebeki tena pole sana machawa wake mna kazi kweli
 
Kawatangazia Watanzania ili mapoyoyo wafahamu kuwa linamuum na analifanyia kazi.

Lakini hajasema kuwa ripoti anazopewa ni kwa ajili ya macho na masikio ya kila mtu.

Ripoti nyingi tu za kiusalama huwa zinafanyiwa kazi kimya kimya na wahusika ni wale walioapishwa tu.

Nchi zina siri kubwa sana.

Nadhani hata wewe, kwenye ukoo wako tu, kuna siri ambazo huzitangazi.
 
Nipo maeneo ya Bunju kule ambako Polisi walizuia mkutano wa ndani wakasomba watu.
Naona msafara wa gari kumi hivi za Polisi zimenipita zinaelekea Mjini.
Labda Polisi walirudi kule kufanya mopping operation.
 
Back
Top Bottom