Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.