voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Ukweli ni kwamba Team msoga haimkubali Makonda kwa sababu hata Makonda Paul Christian hajawahi kuwa muumini wa Msoga!Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Wamemuweka agent wao Makalla Amos ili awe kibogoyo wao!
Sababu Mheshimiwa Makonda hajawahi kuwapigia Magoti Msoga team,zaidi ya kuwapa za uso kila uchao.
Mama atakuja kujua wakati amechelewa kua kwa wakati sahihi.