Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mmh hiyo siku labda itatokea kwa kizazi cha ngapi sijui baada yetu....Tunasubiri nchi itakapoongozwa na wapenda haki ili huyu mhalifu afikishwe kwenye vyombo vya haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh hiyo siku labda itatokea kwa kizazi cha ngapi sijui baada yetu....Tunasubiri nchi itakapoongozwa na wapenda haki ili huyu mhalifu afikishwe kwenye vyombo vya haki.
Lamomy sasa, umesema [emoji108]Bashite hebu tulia, wewe katusaidie kuinyoosha Arusha
Yaan!! Mama amedondosha shilling choooni. Hivi huyu babu Msoga anafikiri atadumu kuwa na remote miaka yote? Nampa miaka 9 tu, atapoteza kumbukumbu yote awe kama mzee ruksa. Yaan anaivuraga hii nchi kama anavyotaka.Siyo uongo bali ndiye uwezo wake wa kutafakari mambo ulipo. Siyo huyu tu. Mtaani kuna vijana wengi wanaona kama Makonda ni bonge la kiongozi na kiongozi mzuri ndiyo anatakiwa kufanya hivyo. Unajua kuna watu wengi ambao bado hawajui matatizo ya nchi yetu yamesababishwa na nini na ni nini kifanyike kuyaondoa.
Sijui kwa niniHili ni tatizo la Tanzania nzima. Watu wengi wenye elimu za kuungaunga.
Muulize Lucas kwanza,mawazo yake yakifanana na yako,basi jua angalao angalao unawazo😁Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Mbona unamsingizia huyu mwambaaa😁Yaan!! Mama amedondosha shilling choooni. Hivi huyu babu Msoga anafikiri atadumu kuwa na remote miaka yote? Nampa miaka 9 tu, atapoteza kumbukumbu yote awe kama mzee ruksa. Yaan anaivuraga hii nchi kama anavyotaka.
Exactly, anatafutia wazee ulaji tu huku utendaji kazi wao ni duni. Nchi inaviongozi mizigo tangu ikulu mpaka kwenye nyumba kumi.Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Yaan inatokana na circumstance ilivyotokea. Ni siku chache tu zilipita toka mzee wa, Msoga na kipara wamseme vibaya JPM. Na ndipo Paul alipojibu kwenye mkutano wa kupokea ndege. It's just a logic interpretation guy.Mbona unamsingizia huyu mwambaaa😁
Ingekuwa ni mara ya kwanza inatokea hivyo ingekuwa sababu kama hizo,ila alishaonyesha kushindwa mambo kadhaa wa kadha na hata nafasi ya wakati huu ni kumpa kazi ya kufanya kwani amejaza mengi moyoni na akilini🤔Yaan inatokana na circumstance ilivyotokea. Ni siku chache tu zilipita toka mzee wa, Msoga na kipara wamseme vibaya JPM. Na ndipo Paul alipojibu kwenye mkutano wa kupokea ndege. It's just a logic interpretation guy.
Kila mwenye akili timamu anajua kaingia mkenge. Ngoja tuone mwishoweKumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Hili mbona halihitaji uwe na Elimu.Utafiti huo umeufanya lini kuwa makonda anakubalika hasa na vijana?na nani kakupa usemaji wao?jina la makonda linahusishwa na utekaji wa binadamu,uuaji,attempted murders,dhuluma etc etc,upumbavu wa middle class ndio unamwona kama ni Mr Clean!!
SecondedKumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Je wewe huoni kuwa ndo Mpumbavu sana! Kwa nini Makonda hajashitakiwa?Wewe ndio mpumbavu, kama Mbowe ndiye aliyemuua Wangwe kwa nini sasa hakushitakiwa kwa kosa la mauaji.?⁉️
Na kwa akili ndogo tu huoni kama kitendo cha serikali kutomtia nguvuni Mbowe ni dhihirisho tosha kwamba Wangwe aliuwawa na serikali ya ccm baada ya kubainika kwamba Wangwe alionana uso kwa uso na Daudi Balali nchini Marekani wakati serikali ya Kikwete ikiwa ilidanganya kwamba Balali alikuwa ameshafariki dunia.
Kwa nini kwenye msiba wa Wangwe pale Kemakorere, Tarime wandugu zake walipotaka walete (Independent Pathologist) kutoka Kenya ili aufanyie (Autopsy) mwili wa marehemu ulionekana kuwa na jeraha la risasi serikali ilikataa katakata na kulazimisha (Autopsy) ufanywe na daktari wa serikali ktk hospitali ya wilaya Tarime.
Mbona serikali hiyohiyo ilidai kwamba Wangwe alifariki kwenye ajali ya gari eti kwa uzembe wa dereva wake Mallya aliyefungwa mwaka moja kwa kosa la kusababisha ajali.
Sasa mimi na wewe nani mjinga. Mengi tunafahamu na tunaweza kuiaibisha hii serikali ya ccm vibaya sana. Bure kabisa.
Toa ujinga wako, Makonda ni Mwamba hasaMakonda anakubalikana wajinga tu,wenye akili tunamuona mbwiga tu,hata JPM alishamstukia ni mbwiga
Daah jamaa sijui shida nini yaani ni hakunaMakalla hana mvuto kabisa. Hicho ndo kifo cha CCM.
Chama tunacho CCM Sawa we mbwigaUnda chama chako umpe uenezi huyo Makonda. Atakufaa
Mbwiga mamako