Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba wa malofa na vilaza kama wewe
Kwamba bimkubwa haendi store, anaenda jalalaani?Ukiangalia hii michezo ya teuzi ni kama vile watu wanatumia uchawi kuteuliwa kwa kuroga zaidi ili kuendelea kuwa kwenye recyclement.
Unateseka kutoka wapiHakubaliki popote, Mikutano yake yote hujazwa kwa amri za mamlaka ya kiserikali. Akienda popote shule zinafungwa, na walimu na watoto wote huelekezwa huko. wafanya kazi wa idara za serikali wote hulazimishwa kuudhuria. Hakuna ampendaye labda wakwe zake.
Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
yanga imeonewaKumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
HakikaKwamba bimkubwa haendi store, anaenda jalalaani?
Watoto wa mjini walitaka kumtanguliza?Hivi huoni mbali muekenduguyo akafemapema . Hukuona hiyo ajali nini ?? Ungerudi??
Sijui sasa maana unaweza shutumu kumbe sio waoWatoto wa mjini walitaka kumtanguliza?
Toa ushahid na picha, usituletee taarifa za vichochoroni. Sisi ni sovereignty country, nchi ya marekani haiwezi kutuanzishia taarifa za uongo na tukazikubali wakati sisi tunajitegemea na tuna bendera.Labda nikiulize, wakati USA inasema kwamba Sadam anatumia siraha za sumu je ilikuwa kweli? Waliposema Gadaff anatumia siraha za sumu ilikuwa kweli? Acheni taarifa potofu.Wewe ni mtu moja bogus sana, yaani unajifanya kama vile hujui kwamba Makonda ni muuaji kabisa aliyekuwa akiongoza genge la wasiojulikana waliosifika kwa utekaji na mauaji ya watu wasio na hatia wakati wa utawala wa dikteta John Magufuli.
Unajifanya kwamba hujui ni kwa nini alipigwa marufuku kukanyaga ardhi ya Marekani.
You people are very hypocritical and useless.
Siwezi kukujibu wewe chawa wa Makonda unayetegemea kuishi kwa kulipwa na huyo muuaji ili kumtetea kwenye mitandao ya kijamii na vilevile kajifunze kwanza kuandika ndipo uje nikujibu.Toa ushahid na picha, usituletee taarifa za vichochoroni. Sisi ni sovereignty country, nchi ya marekani haiwezi kutuanzishia taarifa za uongo na tukazikubali wakati sisi tunajitegemea na tuna bendera.Labda nikiulize, wakati USA inasema kwamba Sadam anatumia siraha za sumu je ilikuwa kweli? Waliposema Gadaff anatumia siraha za sumu ilikuwa kweli? Acheni taarifa potofu.
Anzisha chama chako mpe huo uenezi au uenyekiti,mtu maisha yake yote ni kubebwa bebwa tu anapewa uenezi anaona kila mtu ni size yake
Hauwezi kunijibu kwa, kuwa huna uwezo wa, hoja sahihi za kunijibu. Tanzania watu wengi ni frustrated kama Kigogo, Mange Kimambi, yaan ni kuzushia uongo watu na kuwatukana ili mpate nafuu ya frustration. Na huwa mko tayari kulazimisha watu waukubali ujinga na uongo went.Siwezi kukujibu wewe chawa wa Makonda unayetegemea kuishi kwa kulipwa na huyo muuaji ili kumtetea kwenye mitandao ya kijamii na vilevile kajifunze kwanza kuandika ndipo uje nikujibu.