laptop90
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,829
- 2,294
Wewe uzuri wa makobda ni amsha amsha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji6][emoji6]Makonda ana mambo ya ovyo.....ila kiusema kweli ana amasha amsha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajua kujitrendisha huku hacheki kama sio yeye.
Angeacha uropokaji na kujivisha madaraka, misafara ya kukera .....naona alikua vyema.
Au nasema uongo wanaccm wenzangu??!!
Watanzania Tumelogwa na nani sjui.
Yaani kichaa akipita mtaani anapiga kelele basi huyo mnamuona ni bonge la amsha amsha[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]