Ukweli ni kwamba, kila kitu duniani kina pande mbili. Kuna + na -. Wewe unapomwona mtu fulani ni muuaji wengine wanamwona mtu huyo huyo ni mkombozi kwao.
Kosa la kuua linatokana na sababu za kuua.
Kwa mfano, mtu mmoja kapewa kazi ya kununua madawa na kusambaza Nchi nzima. Badala yake yeye akanunua dawa kidogo tu au akanunua dawa zisizo na ubora unaotakiwa na kusambaza Mahospitalini.
Je, mtu wa namna hii akibainika na kuuawa, kutakuwa na kosa lolote?
Bila shaka hakuna kosa kwani yeye atakuwa ameua watu wengi zaidi kwa kukosa dawa au kwa kutumia dawa zisizo na ubora unaotakiwa.
Kwa hiyo, Issue siyo kuua bali umeua kwa sababu gani?