Acha uongoKumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Utafiti huo umeufanya lini kuwa makonda anakubalika hasa na vijana?na nani kakupa usemaji wao?jina la makonda linahusishwa na utekaji wa binadamu,uuaji,attempted murders,dhuluma etc etc,upumbavu wa middle class ndio unamwona kama ni Mr Clean!!Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Siyo uongo bali ndiye uwezo wake wa kutafakari mambo ulipo. Siyo huyu tu. Mtaani kuna vijana wengi wanaona kama Makonda ni bonge la kiongozi na kiongozi mzuri ndiyo anatakiwa kufanya hivyo. Unajua kuna watu wengi ambao bado hawajui matatizo ya nchi yetu yamesababishwa na nini na ni nini kifanyike kuyaondoa.Acha uongo
Hatimaye mpango wa kumtema Samia 2025 umepikwa na kupikika kwa uhakika.Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Mwache Bashite akapambane na wala mirungi wa Arusha. Huku kwenye uenezi kunataka watu makini zaidi, sio watafuta kiki wanaodhalilisha watu.Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao binafsi.
Akina Makalla 50 ni sawa na Makonda mmoja.
Pole yetu pia watanzania wote.
Hiyo ndo maana yake. Tupo Watanzania wengi mno tunaomwamini Makonda. Huo ndo ukweli na utawatesa sanaSiyo uongo bali ndiye uwezo wake wa kutafakari mambo ulipo. Siyo huyu tu. Mtaani kuna vijana wengi wanaona kama Makonda ni bonge la kiongozi na kiongozi mzuri ndiyo anatakiwa kufanya hivyo. Unajua kuna watu wengi ambao bado hawajui matatizo ya nchi yetu yamesababishwa na nini na ni nini kifanyike kuyaondoa.
Sukuma gang.Hiyo ratio ya 1:50 umeitoa wapi?
Unasema kweli Mh:Jokate Mwegelo.Makonda ana mambo ya ovyo.....ila kiusema kweli ana amasha amsha ππππ anajua kujitrendisha huku hacheki kama sio yeye.
Angeacha uropokaji na kujivisha madaraka, misafara ya kukera .....naona alikua vyema.
Au nasema uongo wanaccm wenzangu??!!
Bora, kwanza ni dhambi kwenda)kutembea na mama.Hatimaye mpango wa kumtema Samia 2025 umepikwa na kupikika kwa uhakika.
Wazenji hata hawajitambui wanakenua tu meno yao!! Samia kwa heri ya kuonana
Ukweli ni kwamba, kila kitu duniani kina pande mbili. Kuna + na -. Wewe unapomwona mtu fulani ni muuaji wengine wanamwona mtu huyo huyo ni mkombozi kwao.Utafiti huo umeufanya lini kuwa makonda anakubalika hasa na vijana?na nani kakupa usemaji wao?jina la makonda linahusishwa na utekaji wa binadamu,uuaji,attempted murders,dhuluma etc etc,upumbavu wa middle class ndio unamwona kama ni Mr Clean!!