Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

Ukweli ni kwamba Team msoga haimkubali Makonda kwa sababu hata Makonda Paul Christian hajawahi kuwa muumini wa Msoga!
Wamemuweka agent wao Makalla Amos ili awe kibogoyo wao!
Sababu Mheshimiwa Makonda hajawahi kuwapigia Magoti Msoga team,zaidi ya kuwapa za uso kila uchao.
Mama atakuja kujua wakati amechelewa kua kwa wakati sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…