Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Mwambie samia kuwa Joyce Banda alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Mutharika wengi walipata matumaini, lakini alibadilika,alianza kutumia jinsia yake kupata uhalali wa kisiasa, alitesa wapinzani na 2014 akashindwa uchaguzi akakimbia nchi huku waziri wake aliyetumika kuwatesa wapinzani akijiuwaMama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.
Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
FOMU ITATOKA MOJA YA MWANAMKETumepewa option wanawake watachagua mwanamke.
Na wanaume tutatafutana kupanga ni kuchagua
Taifa lisiwe tayari kutoa nafasi kwa mtu asiye na uwezo awe rais kwa kua tu ni mwanamke. Tutakua tumekosea sana. Mwaka ule 2015 lowassa alikuja na propaganda eti ni zamu ya walutheri akapigwa chini vizuri. Hizi siasa za samia eti zamu ya kinamama zitatupotezea muda na kuruhusu waovu kurudi ulingoni.Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.
Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako....
Mimi nitaendekea kumassess miaka 4 iliyosalia ndiyo nitajua kama kura yangu apate au nimpe Kamanda Lisu!Mimi mwenyewe nitampigia kura asubuhi na mapema sana
Upo sahihi, Nyerere akisha yaongea haya kwa ufasaha.Nadhani Sio SAHIHI kusema AWAMU ijayo ni zamu ya MWANAMKE kuwa RAIS
URAIS kwa Mujibu wa KATIBA Haijabainisha hivyo kuwa URAIS uwe wa Kubadilishana kwa JINSI...
Kamuulize Sitta kilichomkuta enzihizo Makinda anachukua kiti.Hapo anataka atupeleke Guinea
Nmeshangazwa kutumia neno kudra, asee wanaojua kiswahili waseme alikuwa na maana ipi??
Mi ni mwanamke.Na ngonjera zake kila akisimimama anazungumzia wanawake
Wanawake hivi,wanawake vile !!!!!!?[emoji15]...
Umenena vema kabisa. Usawa wa kijinsia ni pale ambapo hatumchagui mtu kwa jinsi yake au maumbile yake, bali kwa weledi wake. Tunapinga mfumo dume na/au mfumo jike unaobagua!Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.
Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Nimeupenda uchambuzi wako makini. Umejenga hoja yenye nguvu na mantiki.Leo rais wa Tanzania ameyakusanya makundi ya wanawake jijini Dar na kuutangazia ulimwengu kuwa Tanzania kwa sasa inajipanga kuwahakikisha 2025 rais wa Tanzania lazima awe mwanamke...
Inabidi atengue kitendawili cha Freeman Mbowe. Kwa hili ameingizwa 18. Na anayepiga penati ni mtu mzoevu. Ile mood ya uchaguzi wa 2025 unaanzia kwenye uchaguzi wa chama. Moto wake unachoma kama pasi.Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.
Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...