Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Looo, yaani leo mmeanza kulikumbuka jiwe!!!, lilipokuwepo mlililaani kwamba halifai.πŸ™‰
 
Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.

Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Umenena sana.

Unajua anajisogeza kwa kina mama maana anajua mfumo dume haumtambui.

Ajue tu yupo hadi 2025 asepeshwe
 
Uwe na heshima na adabu wewe, huyo licha ya kuwa head of state yeye ni sawa na mama yako, I suppose.
Siwezi kuwa na Mama ambae ni mwizi wa kura.Cheo cha Mama kina heshima yake.Kibaka wa wizi wa kura hawezi kuwa Mama.Labda ni Mama wa uharibifu,wizi na aibu.
 
Duuh!!!

Miezi sita tu..../

Mtu yupo hoi bin taabani.../

Yaani hadi amalize mda wake wa urithi atakuwa amechafua hali ya hewa haswaa.../


Najua kubadilika hawezi labda aache kbs kuhutubia wananzengo.
Kwanini Mungu ameruhusu nchi yetu ibakwe na kila mtu?
Nyerere kama anaona aliko atatamani afufuke aje kuchapa mtu
 
Kama hafai na kwa sababu katiba iliyopo haitoi nafasi ya kumwajibisha basi ni bora endelee tu kufanya makosa hayo ya wazi wazi ili kudhihirisha udhaifu wake ili ikifika 2025 CCM yake na wananchi kwa ujumla wawe wameshamchoka mazima.
 
Kwa mara ya kwanza safari hii kuelekea mwaka 2025 tutaona mengi. Muda utaongea
 
Sekta binafisi ipi? Hiii ya wapiga deal? Wewe ulizoea kuiba hela za wananchi ndo maana hamkumpenda Magufuli!
 
Nyie watu hamna shukran, Magufuli tulikuwa tunamuita dikteta hafai,huyu mama nae Tena leo hafai,Sasa sijui mnataka Aje malaika atuongoze aisee
Ameanza kampeni mapema mno. Ni hilo tu. Angepiga kazi tu mbona hakuna shida.
 
Mambo yamebadilika, mnataka haki sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…