Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

sikumkubali Magu ila he was far better kuliko huyu, Jiwe alikuwa akiongea unaona kweli Rais kaongea.sasa huyu wa sasa ni kama hana mamlaka eti na yeye analia lia tu kama wanyonge, jiwe made a clear distinction kati ya mtu mwenye mamlaka na mnyonge yani akiongea unaona mwenye mamlaka kaongea
Looo, yaani leo mmeanza kulikumbuka jiwe!!!, lilipokuwepo mlililaani kwamba halifai.🙉
 
Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.

Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Umenena sana.

Unajua anajisogeza kwa kina mama maana anajua mfumo dume haumtambui.

Ajue tu yupo hadi 2025 asepeshwe
 
Nikashangaa ofisi wamekuja ghafla wamejaa eti wakanitimua waanze kuambia nyimbo zao
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
hopeless kabisa


Walipokutimua na wewe ukatimka??!!😲
 
Uwe na heshima na adabu wewe, huyo licha ya kuwa head of state yeye ni sawa na mama yako, I suppose.
Siwezi kuwa na Mama ambae ni mwizi wa kura.Cheo cha Mama kina heshima yake.Kibaka wa wizi wa kura hawezi kuwa Mama.Labda ni Mama wa uharibifu,wizi na aibu.
7nbv654311.jpg
 
Duuh!!!

Miezi sita tu..../

Mtu yupo hoi bin taabani.../

Yaani hadi amalize mda wake wa urithi atakuwa amechafua hali ya hewa haswaa.../


Najua kubadilika hawezi labda aache kbs kuhutubia wananzengo.
Kwanini Mungu ameruhusu nchi yetu ibakwe na kila mtu?
Nyerere kama anaona aliko atatamani afufuke aje kuchapa mtu
 
Maza kishajua kuna watu nyuma ya pazia wanataka kumfanyia kauzibe. Sasa ameamua kuanza kampeni mapema kujiimarisha.

Kitendo cha kuwaambia watakuwa wajinga kuachia bahati waliyopewa na Mungu as if wanawake wote wa Tanzania watafaidiaka kwa yeye kuwa Rais ni kutangaza vita na Wanaume wa Tanzania .... sijui nani kamdanganya aongee hayo kwenye public.

Kama anataka kujijengea sifa na credibility ndani na nje ya Tanzania ni bora a stick kwenye principles na kama hotuba zinamshinda basi abakie kwenye script kila anapohutubia. Kwangu naona hili ni kosa la pili. La kwanza lilikuwa la wadada wa soka wa Tanzania.
Kama hafai na kwa sababu katiba iliyopo haitoi nafasi ya kumwajibisha basi ni bora endelee tu kufanya makosa hayo ya wazi wazi ili kudhihirisha udhaifu wake ili ikifika 2025 CCM yake na wananchi kwa ujumla wawe wameshamchoka mazima.
 
Kwa mara ya kwanza safari hii kuelekea mwaka 2025 tutaona mengi. Muda utaongea
 
Jiwe aliua uchumi wa nchi hi ila wachache ndowanaweza kuliona hilo, private sector itachukua miaka zaidi 20 kurudi pale aliko ikuta, kilimo bei paka leo hazijapand, international trade itachukua mda kurudi tena, deni la taifa liliongezaka mara dufu, kila mtazania ataumia kulilipa nk.....bora huyu mam anatia matmaini akiondawa chawa kama Mwigulu, Kabudi ndalichako nk.
Sekta binafisi ipi? Hiii ya wapiga deal? Wewe ulizoea kuiba hela za wananchi ndo maana hamkumpenda Magufuli!
 
Mambo yamebadilika, mnataka haki sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom