mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Tumeliwa kichwa KwakweliKama Taifa tumepigwa.
Nchi imekua ya kike mnoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeliwa kichwa KwakweliKama Taifa tumepigwa.
Nchi imekua ya kike mnoo.
Looo, yaani leo mmeanza kulikumbuka jiwe!!!, lilipokuwepo mlililaani kwamba halifai.🙉sikumkubali Magu ila he was far better kuliko huyu, Jiwe alikuwa akiongea unaona kweli Rais kaongea.sasa huyu wa sasa ni kama hana mamlaka eti na yeye analia lia tu kama wanyonge, jiwe made a clear distinction kati ya mtu mwenye mamlaka na mnyonge yani akiongea unaona mwenye mamlaka kaongea
Umenena sana.Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.
Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
Nikashangaa ofisi wamekuja ghafla wamejaa eti wakanitimua waanze kuambia nyimbo zao![]()
hopeless kabisa![]()
Siwezi kuwa na Mama ambae ni mwizi wa kura.Cheo cha Mama kina heshima yake.Kibaka wa wizi wa kura hawezi kuwa Mama.Labda ni Mama wa uharibifu,wizi na aibu.Uwe na heshima na adabu wewe, huyo licha ya kuwa head of state yeye ni sawa na mama yako, I suppose.
Bahati....au kubahati.shaSamahani, nini maana ya “ kudra”?
Nimeiona athari kubwa ya kuongozwa na mwanaharakati na sio kiongoziInaonekana ana inferiority complex
Anashukiru mwendazake kutwaliwa...Kuwa rais kwa kudra za mungu anamaanisha nini?
Kwanini Mungu ameruhusu nchi yetu ibakwe na kila mtu?Duuh!!!
Miezi sita tu..../
Mtu yupo hoi bin taabani.../
Yaani hadi amalize mda wake wa urithi atakuwa amechafua hali ya hewa haswaa.../
Najua kubadilika hawezi labda aache kbs kuhutubia wananzengo.
Bahati itokayo kwa AllahSamahani, nini maana ya “ kudra”?
Kama hafai na kwa sababu katiba iliyopo haitoi nafasi ya kumwajibisha basi ni bora endelee tu kufanya makosa hayo ya wazi wazi ili kudhihirisha udhaifu wake ili ikifika 2025 CCM yake na wananchi kwa ujumla wawe wameshamchoka mazima.Maza kishajua kuna watu nyuma ya pazia wanataka kumfanyia kauzibe. Sasa ameamua kuanza kampeni mapema kujiimarisha.
Kitendo cha kuwaambia watakuwa wajinga kuachia bahati waliyopewa na Mungu as if wanawake wote wa Tanzania watafaidiaka kwa yeye kuwa Rais ni kutangaza vita na Wanaume wa Tanzania .... sijui nani kamdanganya aongee hayo kwenye public.
Kama anataka kujijengea sifa na credibility ndani na nje ya Tanzania ni bora a stick kwenye principles na kama hotuba zinamshinda basi abakie kwenye script kila anapohutubia. Kwangu naona hili ni kosa la pili. La kwanza lilikuwa la wadada wa soka wa Tanzania.
Tanzania tuuu ndio East Africa tulikubaliana na huuu ujingaHatutakubali kuongozwa na mwanamke, tumegoma...tumekataa!
Daaa ni kweli Magu akiingia sehemu kila mtu anafatilia hata asiyempenda!Magu unamlinganisha na huyu poyoyo ,, kwani wangapi wanamfuatilia hyu mama,, Magu TV zilikuwa zinajaa watu
Sekta binafisi ipi? Hiii ya wapiga deal? Wewe ulizoea kuiba hela za wananchi ndo maana hamkumpenda Magufuli!Jiwe aliua uchumi wa nchi hi ila wachache ndowanaweza kuliona hilo, private sector itachukua miaka zaidi 20 kurudi pale aliko ikuta, kilimo bei paka leo hazijapand, international trade itachukua mda kurudi tena, deni la taifa liliongezaka mara dufu, kila mtazania ataumia kulilipa nk.....bora huyu mam anatia matmaini akiondawa chawa kama Mwigulu, Kabudi ndalichako nk.
Ameanza kampeni mapema mno. Ni hilo tu. Angepiga kazi tu mbona hakuna shida.Nyie watu hamna shukran, Magufuli tulikuwa tunamuita dikteta hafai,huyu mama nae Tena leo hafai,Sasa sijui mnataka Aje malaika atuongoze aisee
Kwamba Mungu alimuondoa jiwe ili yeye achukue kitiKuwa rais kwa kudra za mungu anamaanisha nini?