Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

"Upinzani wa kweli utatoka CCM" Alipata kunena muasisi wa Taifa hili. Wakati umewadia wa upinzani wa kweli kupatikana Tanzania
 
Wanaume hatuna Rais, kwa imani yangu ni mwiko kuongozwa na mwanamke.
 
Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.

Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
kijana tulia wewe hujui kitu, kwa taarifa yako ukiwa mwanasiasa na madaraka yakinoga, lazma ujipange kwa ushindi zaidi

Kwanza hii nchi ya Tanzania kuna wanawake wengi sana asilimia 60.11% zaidi ya wanaume ambao ni 39.99%

Pili wapiga kura wenyemuamko wengi ni wanawake kuliko wanaume. Mwaka 2020/10 wanawake takribani million 7.644 sawa na asilimia 59.21% walipiga kura ila wanaume walokuwa na muamko wa kupiga kura ni asilimia 40.79% pekee

Tatu asili ya wanawake ni kushawishika kirahisi, kubembelezwa na kuhongwa na kuambiwa maneno matamu. Wanapewa kanga, tsheti, vikofia vya ccm na vijicent vichache hususani kipindi cha kampeni. Hivyo basi wanawake wengi zaidi wapo ccm kuliko wanaume.

Kwayote tajwa hapo juu tambua kua wanawake ni kitega uchumi, mateka na mtaji tosha wa ccm, lazma wabembelezwe, wapetiwepetiwe, ikiwezekana na vyeo watapewa/wanapewa ili washawishike zaidi na kuendelea kuibeba ccm.

Bila wanawake ccm inakufa mchana kweupe, Hata shetani aliiteka dunia kupitia wanawake/ mwanamke "Eva".
 
Magu watu walikua wanamfuatilia kwa vituko na uchizi wake, maamuzi yake ya likua hayana protocol au formular, watu wali hofu sana anaweza akafanya uamuzi wa kuathiri maisha yao bila taarifa ndiyo mana wengi wali kua wana msikiliiza........huyu chifu hangayi angalau she is one eyed, but better than blind man .
Labda kwa sababu amerudisha ule mfumo alikuwa nacho ataongezewa
 
Mwalimu Nyerere aliwahi sema! hatumchagui MTU awe Rais kwa dini Yake, jinsia yake, wala rangi yake, sasa mama anachofanya nashindwa kukizungumza hapa ila hakupaswa tamka aliyoyatamka.

TIME HEALS ALL WOUNDS
 
Muache aendelee kuyakanyaga. hamjui kikwete vizuri huyo hangaya.
 
Hivi Samia hana account humu JF aje aone vyenye wanaa wanamtukana awafanye kitu kibaya
 
Nimeipenda sana hiyo,Sasa tufanye hivi wanaume wote tupambane na kuhakikisha mwanaume mwenzetu anakuwa rais mwaka 2025..
Katutenga anataka kura za wanawake wenzie tu.
 
Nimeipenda sana hiyo,Sasa tufanye hivi wanaume wote tupambane na kuhakikisha mwanaume mwenzetu anakuwa rais mwaka 2025..
Katutenga anataka kura za wanawake wenzie tu.
Kwani CCM hakuna wanaume ambao tutampigia kura mh.kipenzi chetu chifu Hangaya?!!!

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaamin šŸ™

#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
muache aendelee kuyakanyaga. hamjui kikwete vizuri huyo hangaya.
😲😲😲🤣🤣🤣

Chifu Hangaya ndiye mwenyekiti wetu wa CCM ....

ENDELEA KUOTA MCHANA

#SiempreJMT
 
Kafanya makosa makubwa sana yaani alafu wewe unaita kujiamini... Like seriously!!
Kwani jana ilikuwa ni siku ya wanawake nchini??
Je, demokrasia ni wanawake peke yao??
Kwenye power corridors amejichafua sana!
Some tena nilichoandika. Soma vizuri
 
Urais wa Tanzania haujali sana Jinsia ya Mtu isipokuwa ni Utendaji wake pekee.

Sikumbuki ni lini Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli walinyanyasa Wanawake.

Rais Samia usianze kutoa Picha kwa Watanzania na Mataifa mengine kuwa Wanawake Tanzania mnaminywa Kisera na Kiutawala.

Hii Sumu ya Upendeleo wa Kipuuzi ambayo Rais Samia unaipandikiza kilazima ndani ya Wanawake ina Madhara makubwa ya uwazavyo.

Kansela wa Ujerumani Bi. Angela Merkel ( ambaye binafsi kama Mightier ) huwa namfuatilia mno ila sikumbuki ni lini katika Uongozi wake amewahi Kulaumu Wanaume kunyanyasa Wanawake au Kuwataka Wanawake wasikubali Kushindwa na Wanaume au Kuwajaza Ujinga na Kiburi cha Upumbavu.

Rais Samia japo unajitutumua na Kuwajaza Ndimu ( Morali ) Wanawake wenzako ila Mwanasaikolojia Mmoja aliwahi kusema kuwa 99% ya Juhudi za Mwanamke katika Maisha na hata Kibaiolojia zinamhitaji sana Mwanaume ili zifanikiwe.

Wanaume tunakuheshimu mno Rais Samia ila epuka sana hii tabia ya Kuonyesha kuwa huenda ulikuwa unatamani Siku moja itokee ( na imetokea Kweli ) ili uwe Rais kama ulivyo sasa na Utukomoe Wanaume kwakuwa pengine una Jambo lako nao la muda mrefu na ulilihifadhi Moyoni mwako / Rohoni kwako.

Baki tu kuwa Rais wa Watanzania wote.
 
Rais atakuwa ni chief hangaya sasa mambo ya wanaume yanatoka wapi, au mnataka kufanya mauaji tena kwa incumbency president
 
Mtu ambaye kupata uongozi mpaka hisani itoke kwa mwanaume atakuwa na ubavu gani wa kuvimbisha misuri kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom