Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo.
Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako...
kijana tulia wewe hujui kitu, kwa taarifa yako ukiwa mwanasiasa na madaraka yakinoga, lazma ujipange kwa ushindi zaidi
Kwanza hii nchi ya Tanzania kuna wanawake wengi sana asilimia 60.11% zaidi ya wanaume ambao ni 39.99%
Pili wapiga kura wenyemuamko wengi ni wanawake kuliko wanaume. Mwaka 2020/10 wanawake takribani million 7.644 sawa na asilimia 59.21% walipiga kura ila wanaume walokuwa na muamko wa kupiga kura ni asilimia 40.79% pekee
Tatu asili ya wanawake ni kushawishika kirahisi, kubembelezwa na kuhongwa na kuambiwa maneno matamu. Wanapewa kanga, tsheti, vikofia vya ccm na vijicent vichache hususani kipindi cha kampeni. Hivyo basi wanawake wengi zaidi wapo ccm kuliko wanaume.
Kwayote tajwa hapo juu tambua kua wanawake ni kitega uchumi, mateka na mtaji tosha wa ccm, lazma wabembelezwe, wapetiwepetiwe, ikiwezekana na vyeo watapewa/wanapewa ili washawishike zaidi na kuendelea kuibeba ccm.
Bila wanawake ccm inakufa mchana kweupe, Hata shetani aliiteka dunia kupitia wanawake/ mwanamke "Eva".