Rais Samia umekutwa na nini? Je, taasisi kukopa kwa jina lake ndio inamaanisha hilo sio deni la taifa?

Egoinya

Senior Member
Joined
Jun 12, 2025
Posts
192
Reaction score
399
Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"

Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?

Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?

Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
 
tatizo lako unekurupuka kuandika bila kumsikiliza alisema nini,nenda kamsikize upya ndio uje uandike
 
Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"

Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?

Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?

Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Sidhani kama Raisi wangu mpendwa anaweza kutojua hilo kwamba mashirika ya Ummah ni sehemu ya serikali, kuna wanao mjumu raisi nyuma ya pazia.
 
Watalaamu
Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"

Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?

Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?

Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli .
Wataalamu wa uchumi tufafanulieni utaratibu wa nchi zingine za Afrika wao mashirika yanakopaje pesa.je yakilipa yenyewe yataweza kudhibitiwa?kama yakilipa yenyewe hapatakuwa na vurugu kwa maana uwezekano wa mashirika hayo kufa kiurahisi hivyo kupoteza ajira kwa watumishi?
 
Ameshakopa sana. Nchi inaendeshwa kwa mikopo na mbaya zaidi anakopa kununua baiskeli pikipiki na mitungi ya gas sijui atazirudishaje izo ela
Nimegundua wamefika mwisho hawakopesheki sasa wanatumia ujanja kuwakwepa wakopeshaji.

Yaani ukiona umekopa sana unaamua kumtuma mkeo ili kumkwepa mkopeshaji kumbe ni Yale yale
 
Back
Top Bottom