Rais Samia umekutwa na nini? Je, taasisi kukopa kwa jina lake ndio inamaanisha hilo sio deni la taifa?

Na anaukwaa
Sema watu wa system hawajifunzi.. Yote haya yanatokea kutokana na uelewa mdogo wa mambo bado haujakaa sawa unasikia shilole anaenda bungeni. Kama taifa tujitafakari sana
Na anaukwaa uwaziri wa tamisemi
 
Moja Mashirika ya UMMA ni huduma na kama hayatoi Huduma basi futa na yafanywe na watu binafsi..., Huwezi kuwaambia TANESCO wakope wanavyotaka ili wao kama wao walipe wakati ni Sisi ndio tutalipa hio mikopo na kama sio sisi basi bei itapanda maradufu... Anyway tukumbushane tu

Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"

Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?

Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?

Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Anapingana na Waziri wake Mwiguku
 
Ameshakopa sana. Nchi inaendeshwa kwa mikopo na mbaya zaidi anakopa kununua baiskeli pikipiki na mitungi ya gas sijui atazirudishaje izo ela
Aisee nimetetemeka nikajisemea huyu mh.Yuko na akili yake ya kawaida ama vipi!!!
 
Kama kuna mtu anayo hiyo video karibu aipandishe tujionee maajabu ya Rais wetu,,, Mimi nilikuwa natazama tv .
 
Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"

Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?

Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?

Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Kama sifa ya kuwa rais ni kujua kusoma na kuandika unategemea nini?
 
Sasa mtu mwenye akili kama hizo eti ndio anaongoza nchi.
 
Tatizo ni shule, mbaya zaidi amezungungwa na washauri viazi wakiongozwa na Mwigulu.

Yule mnyiramba kweli alinunua jina shuleni, elimu yake ni kwenye makaratasi tu. Ukimlinganisha na Dr. Mpango ni mbingu na ardhi.
Huwezi kumlinganisha na mseminari
 
Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"

Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?

Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?

Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Mtu mwenye elimu ya kuunga unga kwa super glue ,hata mawazo yake ni ya hapa na pale.

Mtu kapata division four kidato cha nne ,atawezaje kuwa na tafakuri mjarabu!?
 
Tutarajie kusikia watu wamekopa hela na kkufanya harusi za kifahari,,,kama ni namba uwanjani tungeweza kusema beki 5 inavuja.
 
Mtu mwenye elimu ya kuunga unga kwa super glue ,hata mawazo yake ni ya hapa na pale.

Mtu kapata division four kidato cha nne ,atawezaje kuwa na tafakuri mjarabu!?
Mkuu mbona hata Mimi nilipata four lkn angalau hata hili limenishtua!? Au yeye anafanya maksudi kwa sababu Tanganyika si Kwao!?
 
Huo ndo ukweli,hana cha kupoteza huku Tanganyika, akiharibu anarudi kizimkazi kula urojo, watanganyika tumerogwa kabisa ikiwa tutampa mitano mingine huyu majinuni!!
 
Kwani wanaelewa hata wakiambiwa ‘civil services’ ni technical.

Wao wanaigeuza ‘civil services’ kama chama chao cha mapinduzi; yeyote anaweza.

Raisi pamoja na mawaziri wengi sio technical wa kila kitu (ndio maana wana wasaidizi luluki). US wanaita ‘axis of adults’ ndani ya White House.

Huku kwetu nafasi ambazo technical huko mawizarani na Ikulu wanapandishana bila ya merit, ndio msingi wa uropokaji kama huu.

Kungekuwa na wataalamu makini wizarani na Ikulu makosa kama hayo sio rahisi kutokea.

Yeye kaambiwa tu na Mwigulu deni la serikali linajumuisha madeni ya serikali kuu na taasisi zake; bila ya maelezo ya kina as to why.

Bila ya kuelewa kwanza serikali ni guarantor wa hayo madeni jamaa waki-default. Kwa utaratibu huo kwa kanuni za ‘Sovereign/Public Debt Management’ madeni yote ambayo yana guarantee ya serikali lazima yawe registered DMO wizara ya fedha.

Ni complicated story ndefu yenye mambo ya sijui DeMPA na kadhalika (story ndefu ya public finance). Ni hivi hizo nafasi za Ikulu au senior advisors wa wizara sio za mzaha-mzaha kama wanavyochukulia.

Yaani wengi wa hawa watu ukiwasikiliza unabaki unajiuliza hivi uwa wanaongeaga mambo gani wakikutana na wazungu kwenye maswala technical.

Aibu hapo ni Ikulu nzima, surely kuna watu wanakagua speech ya raisi kwanza kama ni sahihi; tatizo lenyewe na wahusika hawana weledi wa kuona hili boko.

Banana republic
 
Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"

Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?

Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?

Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Mnaongozwa na yaya aka " Beki tatu " , hilo liajuza lenu ni zeeerooo ,zero brain
Sijui mazwazwa CCM huwa mnaokoteza haya matakataka tokea wapi
 
Back
Top Bottom