TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Zole ndege sio za ATCL, ni ndege za serikali na kuna shirika la serikali lenye umiliki (Tanzania government flight agency)Wewe mwenye uelewa mkubwa tufafanulie?
Kwanini ndege zetu huwa zinakamatwa tukiwa tunadaiwa wakati ATCL hawajakopa,imekopa serikali?
Hapo ni kujidanganya mashirika hayo ni mali ya serikali,ata wakope wenyewe bado waki-default kulipa serikali itakuwa responsible!!!š¤£š¤£š¤£
Kama zingekua za ATCL, basi wangeweza Kukopa Kwa dhamana ya taasisi na ndege z ikawa security