mimi naitaka maana bado sijaiona.Hiyo clip ifutwe kwenye mitandao, itatia aibu taifa
Rais mwenyewe ni aibu yenyeweHiyo clip ifutwe kwenye mitandao, itatia aibu taifa
tatizo lako unekurupuka kuandika bila kumsikiliza alisema nini,nenda kamsikize upya ndio uje uandikeRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Mkuu nilikuwa natazama tv ndo nikajionea kituko hicho nitajaribu kuisaka niipandishe hapa!! Mkuu nimeogopa nikajisemea basi tena hatuna jinsiHiyo clip ifutwe kwenye mitandao, itatia aibu taifa
Sidhani kama Raisi wangu mpendwa anaweza kutojua hilo kwamba mashirika ya Ummah ni sehemu ya serikali, kuna wanao mjumu raisi nyuma ya pazia.Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Wataalamu wa uchumi tufafanulieni utaratibu wa nchi zingine za Afrika wao mashirika yanakopaje pesa.je yakilipa yenyewe yataweza kudhibitiwa?kama yakilipa yenyewe hapatakuwa na vurugu kwa maana uwezekano wa mashirika hayo kufa kiurahisi hivyo kupoteza ajira kwa watumishi?Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli .
Sikuhitaji kumsikiliza zaidi baada ya kusikia eti yakikopa mashirika badala ya Hazina kukopa basi deni litaonekana si la Nchi!! Aisee hapana mama anapelea parefutatizo lako unekurupuka kuandika bila kumsikiliza alisema nini,nenda kamsikize upya ndio uje uandike
Hiyo inatisha sana, hili linchi ni kubwa lina mambo mengi, kwa hiyo linatakiwa kuongozwa na mtu mwenye akili kubwa na kujua vitu vingi vya ndani na duniani hukoMkuu nilikuwa natazama tv ndo nikajionea kituko hicho nitajaribu kuisaka niipandishe hapa!! Mkuu nimeogopa nikajisemea basi tena hatuna jinsi
Nimegundua wamefika mwisho hawakopesheki sasa wanatumia ujanja kuwakwepa wakopeshaji.Ameshakopa sana. Nchi inaendeshwa kwa mikopo na mbaya zaidi anakopa kununua baiskeli pikipiki na mitungi ya gas sijui atazirudishaje izo ela