Na anaukwaa uwaziri wa tamisemiSema watu wa system hawajifunzi.. Yote haya yanatokea kutokana na uelewa mdogo wa mambo bado haujakaa sawa unasikia shilole anaenda bungeni. Kama taifa tujitafakari sana
Anapingana na Waziri wake MwigukuRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Aisee nimetetemeka nikajisemea huyu mh.Yuko na akili yake ya kawaida ama vipi!!!Ameshakopa sana. Nchi inaendeshwa kwa mikopo na mbaya zaidi anakopa kununua baiskeli pikipiki na mitungi ya gas sijui atazirudishaje izo ela
Kama sifa ya kuwa rais ni kujua kusoma na kuandika unategemea nini?Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Huwezi kumlinganisha na mseminariTatizo ni shule, mbaya zaidi amezungungwa na washauri viazi wakiongozwa na Mwigulu.
Yule mnyiramba kweli alinunua jina shuleni, elimu yake ni kwenye makaratasi tu. Ukimlinganisha na Dr. Mpango ni mbingu na ardhi.
Mtu mwenye elimu ya kuunga unga kwa super glue ,hata mawazo yake ni ya hapa na pale.Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Mkuu mbona hata Mimi nilipata four lkn angalau hata hili limenishtua!? Au yeye anafanya maksudi kwa sababu Tanganyika si Kwao!?Mtu mwenye elimu ya kuunga unga kwa super glue ,hata mawazo yake ni ya hapa na pale.
Mtu kapata division four kidato cha nne ,atawezaje kuwa na tafakuri mjarabu!?
Taasisi imezungukwa na wasaka tonge hawawezi kushauri ukweli,,watoto wao wataendaje shule za gharama!?Tunaambiwa Urais ni Taasisi....
Huo ndo ukweli,hana cha kupoteza huku Tanganyika, akiharibu anarudi kizimkazi kula urojo, watanganyika tumerogwa kabisa ikiwa tutampa mitano mingine huyu majinuni!!Mkuu mbona hata Mimi nilipata four lkn angalau hata hili limenishtua!? Au yeye anafanya maksudi kwa sababu Tanganyika si Kwao!?
Dah!! Shauri yako ila for sure leo nimeona kumbe no reforms no election ina maana nilikuwa nawapuuza.Au kasahau kumeza nini😄😄
Mkuu masharti ni uwe na shahada ya Kwanza haijalishi ni shahada ya nini na GPA ya ngapi!!Kama sifa ya kuwa rais ni kujua kusoma na kuandika unategemea nini?
Mnaongozwa na yaya aka " Beki tatu " , hilo liajuza lenu ni zeeerooo ,zero brainRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"