Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Tuseme tu kila mtu alipe alichokopa.Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Kila mtu analipa alichokopa ndio maana kuna taasisi zina madeni kwenye financial reports zao.Tuseme tu kila mtu alipe alichokopa.
Sasa tunatokaje mkuu!? Mbona akili ya kawaida tu haiwezi kutamka jambo kama lile!? Au kuna nini jamani kimemkuta mh.!?Kwani wanaelewa hata wakiambiwa ‘civil services’ ni technical.
Wao wanaigeuza ‘civil services’ kama chao cha mapinduzi; yeyote anaweza.
Raisi hata mawaziri sio technical wa kila kitu (ndio maana wanasaidizi luluki). US wanaita ‘axis of adults’ ndani ya White House.
Huku kwetu nafasi ambazo technical huko mawizarani na Ikulu wanapandishana bila ya merit, ndio msingi wa uropokaji kama huu.
Kungekuwa na wataalamu makini wizarani na Ikulu makosa kama hayo sio rahisi kutokea.
Yeye kaambiwa tu na Mwigulu deni la serikali linajumuisha madeni ya serikali kuu na taasisi zake; bila ya maelezo ya kina as to why.
Bila ya kuelewa kwanza serikali ni guarantor wa hayo madeni jamaa waki-default. Kwa utaratibu huo kwa kanuni za ‘Sovereign/Public Debt Management’ madeni yote ambayo yana guarantee ya serikali lazima yawe registered DMO wizara ya fedha.
Ni complicated story ndefu yenye ya sijui DeMPA na kadhalika (story ndefu ya public finance). Ni hivi hizo nafasi za Ikulu au senior advisors wa wizara sio za mzaha-mzaha kama wanavyochukulia.
Yaani wengi wa hawa watu ukiwasikiliza unabaki unajiuliza hivi uwa wanaongeaga mambo gani wakikutana na wazungu kwenye maswala technical.
Aibu hapo ni Ikulu nzima, surely kuna watu wanakagua speech ya raisi kwanza kama ni sahihi; tatizo lenyewe na wahusika hawana weledi wa kuona hili boko.
Banana republic
Kuna watu au ntu sala zake zinaleta shida sijui nchambi, gwajiboy,luhiga, au wengineo au Mungu tu kaamuaRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Sasa mama anataka lisiitwe DENI LA NCHI! naona hii inamkera na wahuni wakalibatiza " DENI LA SAMIA"Kila mtu analipa alichokopa ndio maana kuna taasisi zina madeni kwenye financial reports zao.
Lakini baada ya financial crisis za 1980 rules ni kwamba hayo madeni lazima yaorodheshwe DMO wizara ya fedha kama deni la serikali.
Bongo wengi uwa wana default anyway, madeni ya Nehemia aliyokopa NHC sasa hivi yanalipwa na serikali, madeni ya TANESCO almost 2 trillion yanalipwa na serikali to name a few.
Na "wachokonozi" walitaka kulipa madeni yaoKila mtu analipa alichokopa ndio maana kuna taasisi zina madeni kwenye financial reports zao.
Lakini baada ya financial crisis za 1980 rules ni kwamba hayo madeni lazima yaorodheshwe DMO wizara ya fedha kama deni la serikali.
Bongo wengi uwa wana default anyway, madeni ya Nehemia aliyokopa NHC sasa hivi yanalipwa na serikali, madeni ya TANESCO almost 2 trillion yanalipwa na serikali to name a few.
IQ ya baadhi ya watanzania ni ndogo sana mkuu. TuvumilianeRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Yeye hawezi kujua mambo ya ‘Public Debt Management’ hiyo ni knowledge ya baadhi ya watu wizara ya fedha na bank kuu.Sasa tunatokaje mkuu!? Mbona akili ya kawaida tu haiwezi kutamka jambo kama lile!? Au kuna nini jamani kimemkuta mh.!?
Samia sio shida kubwa, tatizo zaidi ni madaraka ya raisi.Sasa mama anataka lisiitwe DENI LA NCHI! naona hii inamkera na wahuni wakalibatiza " DENI LA SAMIA"
We kima huna unalojua tuliza hayo makalioRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Siwezi amini hadi ulete clip😁Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
raisi yupo sahihi, taasisi inapokopa kwa jina lake maana yake inajiendesha kibiashara na hadi ipewe inatakiwa ionyeshe ina uwezo wa kulipa, na hii inafanyika duniani kote na haihesabiki kama mkopo wa serikali ya taifa husika,kwa hili president is very right.Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Kuna mashirika yanayojiendesha kibiasharaRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Kotuko kingineRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Umeona wap serikali inafanya biashara jomba? Jukumu la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi sio biashararaisi yupo sahihi, taasisi inapokopa kwa jina lake maana yake inajiendesha kibiashara na hadi ipewe inatakiwa ionyeshe ina uwezo wa kulipa, na hii inafanyika duniani kote na haihesabiki kama mkopo wa serikali ya taifa husika,kwa hili president is very right.