Mnabebwa na misaada la sivyo mngekosa hata mishahara, makusanyo hayatoshi kabisa
Nchi sio kampuni
Mfn mashirika yapi yanayokopa mikopo yenyewe kama yenyewe,, shirika kubwa ni TPA lkn nakumbuka serikali kuu(HAZINA) Ndo ilikopa tsh. Trilion 1.5 ili kuongeza kina cha mlango wa bahari kabla hatajamzawadia mwarabu! Sasa wewe unasema ni kawaida kwa kurejea wapi!? Maana Rais ndo anataka mashirika yaanze kukopa yenyewe ili deni lisiitwe deni ta TaifaKuna mashirika yanayojiendesha kibiashara
They can do that ni practice ya kawaida
Si tulikubaliana kuwa deni la taifa likitajwa kwa kutumia fedha ya dola wala siyo kubwa. Kwamba linaonekana ni kubwa kwa sababu tunalitaja kwa kutumia shilingi?Elimu
Elimu
Elimu
Kujua kusoma na kuandika TU.
Hii ndio changamoto sasa tunakutana nayo kwma Tanganyika. Sema pia kapagawa kabisaa.
KAZI ni kipimo cha utu
Tanzania miaka inayaokuja itakua ni aibu kujitambulisha mtanzania bora useme mimi Mzanzibari how comes system inashidwa kusimamia Tanzania tukapata katiba itayoweza kupungza nguvu ya Rais na kuogeza nguvu ya Bunge na kuongeza kigezo cha Elimu ukitaka kua Mbunge angaalu Degree moja ipunguze mishaara ya wabunge Wabunge wako wanaishi maisha ya anasa wakati wakati watumishi wengine ni maskini wa kutupwa kwa kitu gani mbunge anachofanya mpaka Mshaara wake uwe 19M kwa nchi maskini kama Tanzania vyoo tunajenga kwa wahisani kwani hii nchi imelogwa na nani?Sema watu wa system hawajifunzi.. Yote haya yanatokea kutokana na uelewa mdogo wa mambo bado haujakaa sawa unasikia shilole anaenda bungeni. Kama taifa tujitafakari sana
Swali ni Je!, Yakikopa mashirika ndo haliitwi deni la Taifa!? Au hawalilipi Wtz!? Maana lengo la mh. Ni mashirika yakope ili deni lisiitwe deni la Taifa.Kama kweli amesema hayo basi ni hatua nzuri sana kwakuwa inaonesha Bimkubwa sasa anachukia mikopo na labda tukikopa tena atakomaa na matumizi wasiibe sana , inaonesha kelele za deni kubwa la taifa zimemfikia na zinamkera pakubwa.
Nchi haiwezi kwenda bila mikopo kinachopaswa ni Bimkubwa kufuatilia matumizi tu, tukope tumalize ujenzi wa SGR mengine hatuyahitaji sijui kuboresha mazingira uvuvi kilimo elimu ni wizi tu huko
Mashirika Yanaweza kukopa Kwa kutumia vitabu vyao na security zaoMfn mashirika yapi yanayokopa mikopo yenyewe kama yenyewe,, shirika kubwa ni TPA lkn nakumbuka serikali kuu(HAZINA) Ndo ilikopa tsh. Trilion 1.5 ili kuongeza kina cha mlango wa bahari kabla hatajamzawadia mwarabu! Sasa wewe unasema ni kawaida kwa kurejea wapi!? Maana Rais ndo anataka mashirika yaanze kukopa yenyewe ili deni lisiitwe deni ta Taifa
Uelewa wako mdogoMama katoa boko lingine!🤣🤣🤣🤣.Kwani mara ngapi Tanesco inadaiwa na madeni yanabebwa na serikali!!!
Sasa unakuwa umekwepa nini maana walipaji ni wtz hawahawa!? Kwani huko nyuma ilipokuwa inakopa serikali na kuyapa mashirika ,je,mashikaka hayo yalikuwa hayarejeshi!? na tofauti yake na sasa itakuwa ni ipi!?Je,huoni kitanzi kitabana zaidi maana haitakuwa tena soft loan bali tutalipa mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa!? Tatizo la Rais hataki jina "DENI LA TAIFA"raisi yupo sahihi, taasisi inapokopa kwa jina lake maana yake inajiendesha kibiashara na hadi ipewe inatakiwa ionyeshe ina uwezo wa kulipa, na hii inafanyika duniani kote na haihesabiki kama mkopo wa serikali ya taifa husika,kwa hili president is very right.
Bimkubwa yuko smart ni vile tu haters ni wengi waliojaa udini. Ngoja mashirika yakope halafu yashindwe kulipa managements zao ziburuzwe kortini na maofisa kupoteza kazi ndo hapo Bimkubwa atasimama kifua mbele na kusema kiko wapi. This is smart move apongezwe, kila mtu abebe msalaba wake hakuna kichaka cha kuficha ufisadi Sasa.Mashirika Yanaweza kukopa Kwa kutumia vitabu vyao na security zao
Mashirika ya kiboshara yako kama 30-40 hivi
Lakini pia kuna option ya kukopa Kwa security ya serikali
Move ya kuacha wakope wenyewe na kuweka dhamana zao ni nzuri kwasababu inaondoa tabia ya mashirika kukopa Halafu baadaye kutupia mzigo serikali
Hii si ndo watu watajikopea wanavyotaka bila control at the end of the day taifa litakuwa na madeni makubwa. Nakumbuka before 2015 utaratibu ulikuwa kila shirika watajikopea tu. Magufuli akaja akapiga stop. Deni lote lazima lipite hazina. Naamini katoa ushauri ambao utahitaji discussion.Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Sasa samia shahada yenyewe ya kubumbaMkuu masharti ni uwe na shahada ya Kwanza haijalishi ni shahada ya nini na GPA ya ngapi!!
mitano tena. Ngoja wakusikie akina MwijakuRais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA"
Mimi na shule yangu ndogo nauliza je, yakikopa mashirika bila kupitia hazina deni hilo linakuwa siyo la Nchi!?
Hivi kumwambia mkeo akakope badala yako deni linakuwa siyo la familia!?
Mh.Rais umekutwa na nini mama angu!? Ungekuwa na mtu wa kukwambia ukweli ungepumzika.
Hawezi sababu hana kipaumbele. Ana shika hiki na kuacha kile. Hii nchi ni kama nguo iliyotoboka toboka Ina viraka vingi vimechanika hajui pa kuanzia kushona. Imagine kama serikali imeshindwa kuendesha mwendokasi Kasi tu hapa Dar es salaam! Je, itaweza kufanya biashara?Kama kweli amesema hayo basi ni hatua nzuri sana kwakuwa inaonesha Bimkubwa sasa anachukia mikopo na labda tukikopa tena atakomaa na matumizi wasiibe sana , inaonesha kelele za deni kubwa la taifa zimemfikia na zinamkera pakubwa.
Nchi haiwezi kwenda bila mikopo kinachopaswa ni Bimkubwa kufuatilia matumizi tu, tukope tumalize ujenzi wa SGR tunayoiona na kuitumia mengine hatuyahitaji sana mikopo ya sijui kuboresha mazingira uvuvi kilimo elimu, sijui mifumo gani isiyokwisha kuboreshwa tangu uhuru ni wizi na ufisadi tu huko na kumchafua Mazeri. Nchi imejaa majizi ya mikopo tu nayo yanakufa mmoja mmoja na kuacha mali zao.
Mpango yule ni mchumi kweli PHTatizo ni shule, mbaya zaidi amezungungwa na washauri viazi wakiongozwa na Mwigulu.
Yule mnyiramba kweli alinunua jina shuleni, elimu yake ni kwenye makaratasi tu. Ukimlinganisha na Dr. Mpango ni mbingu na ardhi.
Sure nchi zilioendelea Professional ndo inafanya kazi sio siasa ndo maana wenzetu wako mbele kazi ya Rais ni kuongoza tu ndo maana kwa wezentu Elimu inaeshimika Wanalipwa vizuri wanatimiza uwajibu wao sisi huku tumeendekeza wanasiasa ndo wawe wachumi uliona wapiKwani wanaelewa hata wakiambiwa ‘civil services’ ni technical.
Wao wanaigeuza ‘civil services’ kama chama chao cha mapinduzi; yeyote anaweza.
Raisi pamoja na mawaziri wengi sio technical wa kila kitu (ndio maana wana wasaidizi luluki). US wanaita ‘axis of adults’ ndani ya White House.
Huku kwetu nafasi ambazo technical huko mawizarani na Ikulu wanapandishana bila ya merit, ndio msingi wa uropokaji kama huu.
Kungekuwa na wataalamu makini wizarani na Ikulu makosa kama hayo sio rahisi kutokea.
Yeye kaambiwa tu na Mwigulu deni la serikali linajumuisha madeni ya serikali kuu na taasisi zake; bila ya maelezo ya kina as to why.
Bila ya kuelewa kwanza serikali ni guarantor wa hayo madeni jamaa waki-default. Kwa utaratibu huo kwa kanuni za ‘Sovereign/Public Debt Management’ madeni yote ambayo yana guarantee ya serikali lazima yawe registered DMO wizara ya fedha.
Ni complicated story ndefu yenye mambo ya sijui DeMPA na kadhalika (story ndefu ya public finance). Ni hivi hizo nafasi za Ikulu au senior advisors wa wizara sio za mzaha-mzaha kama wanavyochukulia.
Yaani wengi wa hawa watu ukiwasikiliza unabaki unajiuliza hivi uwa wanaongeaga mambo gani wakikutana na wazungu kwenye maswala technical.
Aibu hapo ni Ikulu nzima, surely kuna watu wanakagua speech ya raisi kwanza kama ni sahihi; tatizo lenyewe na wahusika hawana weledi wa kuona hili boko.
Banana republic
Dunia ya sasa serikali inatoa huduma ila ili upate huduma bora na hiyo huduma iwe endelevu lazima taasisi zijiendeshe kibiashara, ndio maana ukienda muhimbili lazima ulipie na nchi nyingi za afrika mashariki kama congo ,uganda na zambia wanakuja muhimbili kutibiwa maana kwao huduma mbovu, wameshindwa kuendesha kama sisiUmeona wap serikali inafanya biashara jomba? Jukumu la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi sio biashara
Wewe mwenye uelewa mkubwa tufafanulie?Uelewa wako mdogo
Hapa aliposhika Bimkubwa ni pazuri mno asiachie hata majizi yapige kelele maana kutakuwa na kurushiana mpira mwenye deni ukidai serikali watakwambia nenda kawadai shirika lililokopa ukidai shirika watasema deni tumepeleka serikalini tunasubiri jibu na hapo mabosi wa mashirika wataweweseka na kutiwa ndani kwa kukopa bila mipango na kushindwa kulipa deni, tena iundwe Sheria shirika likikopa na kushindwa kulipa management yote iende jela na wafilisiwe.Wewe mwenye uelewa mkubwa tufafanulie?
Kwanini ndege zetu huwa zinakamatwa tukiwa tunadaiwa wakati ATCL hawajakopa,imekopa serikali?
Hapo ni kujidanganya mashirika hayo ni mali ya serikali,ata wakope wenyewe bado waki-default kulipa serikali itakuwa responsible!!!🤣🤣🤣
We ni waziri wa nini vile!? Ndo maana nchi haing'oi nangaWe kima huna unalojua tuliza hayo makalio