Rais Samia umekutwa na nini? Je, taasisi kukopa kwa jina lake ndio inamaanisha hilo sio deni la taifa?

Zole ndege sio za ATCL, ni ndege za serikali na kuna shirika la serikali lenye umiliki (Tanzania government flight agency)

Kama zingekua za ATCL, basi wangeweza Kukopa Kwa dhamana ya taasisi na ndege z ikawa security
 
Hafanyi haya mambo bila washauri
 
Ni bibi chaudere huyo huyo pia alie sema deni lina onekana kubwa kwa sababu linatajwa kwa shilingi lakini likitajwa kwa dola ni deni la kawaida 💩Elimu ya wazanzibari hiyo usishangae sana 💩💩💩
Hahahahaaa!! Boko lingine hili alafu wanasema tunamsingizia maskini ya mungu! Ila ndo hivo tena Tiss wangejielekeza katika kusikiliza wangesaidia ila sasa wanaokosoa wanazikwq bila kufa.
 
Utakuwa Tito Magotti bila shaka!! Kwhyo mmeamua kukwepa madeni kiaina!?
 
Ujinga ni asili haijalishi ww ni nani.
 
"NILISEMA NAJIVUA URAIS NAMPA MAFURU"

Tangu hapo nilijua tu pale hakuna kichwa, kwamba urais umekua karanga yeyote anampa amtakae maana hata ujumbe wa kikoba hauko hivyo....😆"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…