Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Ufisadi upo tena upo kweli kweli… Ndo yake tunasema mahaba na Chama ndo yanatupotosha … Mi Bus 🚎 30 na Mi posho ya ajabu…. Taarifa ya habari hapa tunaangalia Makada wanatoa ufafanuzi kila siku kisa nini … Naangalia Hapa Vijana vs Wazee wote wamepindisha maneno … Yani sisi tunakosea wapi “Ya Rabbi(أتُنصُرُنا)(يا رب، أتُنصُرُنا) … YANI NIKIMUANGALIA MH MWINYI, MH MAJALIWA, MH DOTTO nachoka 🤲🏽
Ufisadi uko wapi? Taja miradi yenye ufisadi
 
Hiyo taarifa haijatoka Hadharani so Haina uhakika, taarifa za hivyo zimetoka sehemu zingine na mamlaka zikachukua hatua.

So acha uzushi
Ulitegemea taarifa mbaya kama hiyo CCM itaiweka hadharani? Kwa taarifa yako nina uwezo wa kukupelekea mpka nyumbani Kwa aliyefiwa na ushahidi nakupa.

Nimekuliza angekuwa ni kada wa CCM asingepewa huduma kama ilivyotokea Kwa huyo mama?
 
Aliyofanya huyo JPM wako hayakuwa kwenye motion?

Magufuli aliyeshindwa Hadi Ajira atapata wapi hela ikiwa wafanyabiashara walikimbia?

Hakuna Rais wa kumfikia Samia Kwa lolote na Kwa sekta yeyote.

View: https://x.com/TaruraTz/status/1875562845984997476?t=0O2fmqNhyEvCr7x_vS3L9Q&s=19

Samia atakuwa anaonesha kazi hapeleki maneno matupu.

Well ni kipi kipya alichofanya hao wengine hwajafanya?

Kuna vitu magufuli alifanya vikaleta instant impact. Huyu amekuja anatembelea project za mzee ambazo kama angekuwa hai zingeendelea

Project yake ipi ambayo yeye kama yeye kaanzisha?
 
Well ni kipi kipya alichofanya hao wengine hwajafanya?

Kuna vitu magufuli alifanya vikaleta instant impact. Huyu amekuja anatembelea project za mzee ambazo kama angekuwa hai zingeendelea

Project yake ipi ambayo yeye kama yeye kaanzisha?
Project aliyoianzisha ni promotion ya kuibeba CCM na kumtetea yeye na kuteka watu na kuwauwa
 
Well ni kipi kipya alichofanya hao wengine hwajafanya?

Kuna vitu magufuli alifanya vikaleta instant impact. Huyu amekuja anatembelea project za mzee ambazo kama angekuwa hai zingeendelea

Project yake ipi ambayo yeye kama yeye kaanzisha?
Kipya ni kufanya mara 2 au zaidi ya wengine na tena sekta muhimu

Mfano Bajeti ya Barabara Vijijini alikuta ni Bil.272 ,,saizi ni bil.750 since day one alivyongia.

Sasa wewe Kwa akili Yako nani amefanya vizuri ya wengine?
 
Project aliyoianzisha ni promotion ya kuibeba CCM na kumtetea yeye na kuteka watu na kuwauwa
Hizo zilikuwa political ambitions (hakuwa mzuri kwenye politics), lakini kwenye miradi je?
Huyu wa sasa hamfikii kwa utekelezaji na usimamizi wa miradi, jpm hapo tu ndio alikuwa makini sana, kwingine hakuwa vizur
 
Ulaya karibu mataifa yote makubwa pale yanaongozwa na Wanawake analeta upumbavu wake.

Kuna mahala mwanamke amewahi shindwa Kuongoza au aseme hapa wenye masuruali wamemzidi nini Samia?

Mbona Mimi kijiweni kwangu wapo watu wengi tena wanaume wanamkubali Samia vizuri Sana Kutokana na delivery yake.
Nahisi hao watakuwa ni mashoga sio wanaume halisi
 
Hizo zilikuwa political ambitions (hakuwa mzuri kwenye politics), lakini kwenye miradi je?
Huyu wa sasa hamfikii kwa utekelezaji na usimamizi wa miradi, jpm hapo tu ndio alikuwa makini sana, kwingine hakuwa vizur
Kifupi jpm alikuwa anakutumia vizur udikteta kwa MASLAHI ya Taifa lakini huyu anautumia udikteta kwa MASLAHI ya viongozi na ma chawa, full stop
 
MIMI NAONA MNATESEKA,
HAMNA WAKUITOA CCM KWENYE NCHI HII,
Sisemi tutaiba ila hakuna viongozi waadilifu kama ccm. Na tutaipigania iwe Kiongozi wa nchi hii, iwe asubuhi iwe jioni.
Samia ni mmoja tu wa maraisi, watakuja wengine na tutakilinda chama kishikilie dola mara zote, mpaka pale si tutapoona ccm imekosea bali tutapoona kuna wajibu tuachie kiongozi wa chama flani awe raisi. Na kama ikiwezekana kiongozi huyo aje ccm na tumuangalie kama anatufaa.
Ccm Always will be there, kama kutaendelea uwepo wa vyama vilivyopo sasa.
 
Mimi nina kadi ya muda mrefu.

Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.

Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili. Sio kwamba Trump anapendwa sana, alishindwa na Biden mwaka 2020 tena akiwa rais.

Tanzania sisi wa mwisho kila kitu na chama changu ccm tunataka kuwaaminisha watanzania kwamba mjita wa mkoani Mara atampigia kura rais mwanamke tena anaevaa ushungi?

Wasukuma jirani zangu wazee wa wanawake weupe kweli watampigia kura mwanamke?

Wazee wangu wayao wa Songea, watu wa kuoa wake hadi wa 4 kweli wataenda kumpigia kura mwanamke awaongoze?

Imetosha CCM, tumeweka historia tayari.
Miaka mitano ni mingi mno, damage itakua kubwa mno.

Si twezi utu wala sibezi uwezo wa Dr Samia, ila tuwe wakweli.

Tanzania bado sana.

Kidumu chama cha mapinduzi.

..ongeza na Uzanzibari.

..Watanganyika wako tayari kutawaliwa na Mzanzibari?
 
Mimi sijui maana sijaona mradi wowote wa Serikali umefeli eti Kuna ufisadi ,wewe ndio nitajie.
Katika kipindi cha mwaka 2020-2024, miradi na matukio kadhaa ya ufisadi imejulikana nchini Tanzania, ingawa baadhi ya matukio haya hayajaangaziwa sana kwa umma. Hapa chini ni mifano ya baadhi ya miradi na tuhuma za ufisadi:


1. Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) – Ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR umekuwa ukikumbwa na tuhuma za ufisadi kuhusiana na zabuni za ujenzi, gharama zilizozidi makadirio na mikataba isiyokuwa wazi. Wakati mradi huu umekuwa na umuhimu mkubwa kwa uchumi wa Tanzania, kumekuwa na shaka kuhusu uwazi na matumizi ya fedha zinazotumika.


2. Mradi wa Umeme wa Kinyerezi II – Mradi huu wa kuzalisha umeme ulileta maswali kuhusu usimamizi wa fedha na matumizi ya mikopo kutoka kwa taasisi za fedha za kimataifa. Kuna madai kwamba fedha za umma zilitumika vibaya katika utekelezaji wa mradi huu.


3. Mfumo wa Malipo ya Madeni ya Serikali (Government Debt) – Kuna ripoti zinazosema kwamba serikali imekuwa ikikopa fedha nyingi kwa ajili ya miradi, na kwamba baadhi ya mikopo hiyo inahusishwa na ufisadi na matumizi yasiyo wazi. Kuna tuhuma kwamba baadhi ya fedha zilizokopwa zilitumika kwa manufaa binafsi ya viongozi wa serikali.


4. Mradi wa Ujenzi wa Ndege za Serikali (Air Tanzania) – Ingawa serikali ilijitahidi kuimarisha shirika la ndege la Air Tanzania, mradi huu umehusishwa na tuhuma za ufisadi kuhusiana na malipo ya zabuni, mikataba na vifaa vilivyonunuliwa. Hii inahusisha ufanisi mdogo wa kampuni licha ya kuingiza fedha nyingi.


5. Dhamana za Kampuni za Madini – Ingawa awali ilikua na jitihada kubwa za kuboresha mikataba ya madini, wanasiasa na baadhi ya viongozi wa serikali wanatuhumiwa kuhusika na upendeleo wa mikataba ya madini ambayo inadhihirisha ufisadi na upendeleo kwa kampuni kubwa za kigeni.


#Hata hivyo, katika kipindi cha 2020-2024, Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha jitihada kubwa za kupambana na ufisadi na amekuwa akichukua hatua za kurekebisha hali ya usimamizi wa fedha za umma, ingawa changamoto bado zipo. Wakati mwingine, suala hili limekuwa na mvutano mkubwa kutokana na baadhi ya viongozi na wafanyabiashara kuwa na maslahi binafsi kwenye miradi ya serikali.
# MAGUFULI ALIKUA ANASEMA UTAZITAPIKAAAAAA#
 
Na hatupingi mfumo dume kwa kutaka kupendelewa ila tunapiga mfumo dume kwa kuwa bora kama anavyoweza kuwa mwanaume katika majukumu yasiyohusisha jinsia
Viti maalumu vha ubunge na udiwani vya nini enzi hizi?
 
Hoja zako zinahusinaje na mwanamke mbona kama hueleweki?

Sema huwezi mpigia Kwa sababu za mfumo dume ila Mimi siwezi kuchagua mtu kisa Jinsia yake ,never
Unakubali viti maalumu vifutwe kila mtu apate ubunge na udiwani kwa kura za raia wapiga kura majimboni tu??
 
We subiri zianze kampeni, hapo ndo watajua Watanzania ni watu gani. Lakini pia, Sheria za Uchaguzi pamoja na Katiba vibadilishwe na kuwa bora zaidi.
 
Back
Top Bottom