Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

Mashuka hata mimi nyoka naweza kupeleka
 
Sikia hakuna atakachofanya,kikawaridhisha watu wote,na hata akufanya hayo unayataka wewe,bado watatokea watu wamlaumu tu,hivyo afanye aonavyo yeye basi
 
Sikia hakuna atakachofanya,kikawaridhisha watu wote,na hata akufanya hayo unayataka wewe,bado watatokea watu wamlaumu tu,hivyo afanye aonavyo yeye basi
Hatuhitaji kuridhishwa, hapo ndio mnapopuyanga!
 
Asante,
Kwa hiyo tuiache CCM ijiendee inavyoona, sio?!
 

Maneno mazito haya:

" Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo."

aliwahi kukimbiwa mwendazake hata siku moja?

Kiulinganifu mama yuko vizuri mno kuliko bwana yule ambaye hakukitendea haki cheo kile.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
hii nchi ilikuwa INANUKA ufisadi wa kutisha!!
kila Mteule ktk nafasi yoyote ile serikalini alikuwa anakwapua fedha za umma bila aibu!!
kulikuwa na matumizi ya ovyo, kila kiongozi akiumwa mafua alikuwa anaenda kutibiwa ulaya!!!
kila kiongozi alikuwa dalali wa rasilimali zetu.

Rais wetu wa sasa Mama Samia anapita ktk njia zile zile za kuziba myanya na kutunza rasilimali zetu.Hongera sana Mama Samia kwa msimamo madhubuti, tunakuamini na tunaimani sana.
 

Nchi hii ilikuwa imechezewa sana. Kila mteuliwa alikuwa design ya Ole, Kondakta nk. Wadhwalimu na wa haja waongo wa kupitiliza kama kina Wajaliwa.

Watu wakanyaswa nyaswa, wakatekwa, wakapotea nk. Achilia mbali waliotelekezewa Corona iwafutilie mbali.

Vipaumbele vilikuwa hamna. Ikawepo mipango ya kujenga hadi mabarabara ya ringi kupendezesha majiji na majizi wakati barabara kuu ambazo ni msingi wa uchumi zikiwa hoi.

Yakanunuliwa madege, hivi sasa yame paki jknia hayana kazi. CAG akawa hana ruhusa kuyakagua hayo wala tanroads, bot, TPA na ya namna hiyo.

Ya Corona nayo kuna asiyejua ilikuwa je?

Hakika nchi ikichezewa sana kama shamba la bibi tu. Mengine kama haya yangalipo leo kama mabaki mabaki ya utawala huo uliokuwa dhwalimu mno:


Vipi niendelee kuwataja hadi majina yao?
 
Na wewe leo unaunga mkono aanze kufanya vitu vikubwa vikubwa?!!!, unweza kuvitaja, maana mwendazake alifanya hivyo vikubwa , lakini kila siku unamtukana.

hebu tutajie hivyo vitu vikubwa zaidi ya alivyofanya mwendazake.
 
Reactions: nao
Kwani Magufuli alikuwa ana akili au alikithiri kwa kutumia mabavu? Ndani ya miaka 5+ aliyokaa madarakani deni la taifa limepaa kwa 30t+. Ukiambiwa uonyeshe hiyo miradi ya 30t wala hutoweza. Usichanganye akili na kiburi cha madaraka.
Hayo manufaa ya 30 tr utayaona ndani ya miaka 15 ijayo wakati miradi yake itakapokuwa imekamilika,

miradi bado inawndelea kujengwa, hapo ndio utakuwa na sababu ya kulilia hizo tr30 zako.
Au unajifanya hujui lengo la kukopa hizo pesa?
 
Hayo manufaa ya 30 tr utayaona ndani ya miaka 15 ijayo wakati miradi yake itakapokuwa imekamilika,

miradi bado inawndelea kujengwa, hapo ndio utakuwa na sababu ya kulilia hizo tr30 zako.
Au unajifanya hujui lengo la kukopa hizo pesa?

Kwa taarifa yako hizo 30t ilipaswa hiyo miradi iwe imeisha. Mradi wa SG ni 6.5t, na SGR ni 10t, na hakuna hata mradi mmoja kati ya hiyo uliofika nusu. Sasa hiyo 30t imeingia kwenye nini?
 
Ndio maana tunasema Magufuli ni mwanaume, hivi hiyo miaka 54 unayoitaja kwa akili yako ni nini kilifanyika?

kulijengwa reli mpya, kulinunuliwa ndege mpya 12, kulijengwa meli mpya, kulijengwa vivuko, kulijengwa madaraja haya yanayojengwa leo,
Vipi mahospitari yalijengwa,

mastandi ya mabasi yalikuwepo, vipi vituo vya afya ktk hiyo miaka mitano tu.

tukikuambia una chuki mbaya na mwendazake unachukia mpaka unaziba macho kujifanya huoni chochote.
 
Asante comrade napata hisia ya kwamba ungependekeza mambo makubwa kadhaa yenye national inclusivity na longterm. Umeeleweka barikiwa
 
Kwa taarifa yako hizo 30t ilipaswa hiyo miradi iwe imeisha. Mradi wa SG ni 6.5t, na SGR ni 10t, na hakuna hata mradi mmoja kati ya hiyo uliofika nusu. Sasa hiyo 30t imeingia kwenye nini?
Unafikiri kujenga reli ni sawasawa na kujenga choo,
Umeona mradi wowote umesimama,
Au unafikiri hizo tr30 zinatolewa kwa mkupuo.
Ngoja nikueleweshe, hizo tr 30 zako inawezekana mpaka sasa zimetolewa tr 10,

hizo zilizobakia uje uziulize utakapoona miradi kama ya umeme wa rufiji imekamilika
 
Sasa hivi ni vigumu kutofautisha uzalendo na ujinga. Sema hivi, siku nikikubali kuwa mjinga kama utakavyo, nije unilishe Matango pori. Kimsingi nilijua huna jipya zaidi ya kuleta mawazo ya fuata mkumbo.
Tindo, mwombe Mwenyeji Mungu sana akusaidie kujijua jinsi ulivyo mjinga na roho mbaya, yaani kiufupi ujitambue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…