Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani.
Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania.
Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka.
Mzee Makamba anakudanganya unaupiga mwingi na 2025 utapita kirahisi. Sio kweli labda kama watanzania ni wajinga kama enzi za Chief Mangungo wa Msovero.