Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Tafadhali sana; Makamba ni Makamba, na Samia ni Samia. Makosa ya Makamba hasira zake zielkezwe kwa Makamba mwenyewe na si kuhamishiwa kwa Samia, kisa tu Samia ni Rais. Samia hajamtuma na wala hawezi kumtuma Makamba kwenda kubwabwaja maneno ya kijinga kwa waTanzaniaBahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani.
Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania.
Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka.
Mzee Makamba anakudanganya unaupiga mwingi na 2025 utapita kirahisi. Sio kweli labda kama watanzania ni wajinga kama enzi za Chief Mangungo wa Msovero.