marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,037
- 3,146
Mtu anaweza kulia huku ameshinda Urais na majority bungeni? Hizi stories zako peleka kwenye kijiwe cha ghahawaSawa kabisa. Lakini muulize 2010 alitaka kulia baada ya matokeo ya kutangazwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anaweza kulia huku ameshinda Urais na majority bungeni? Hizi stories zako peleka kwenye kijiwe cha ghahawaSawa kabisa. Lakini muulize 2010 alitaka kulia baada ya matokeo ya kutangazwa.
Kama Magufuli alishinda yeye Kwanini asishinde??, Na toka lini CCM wanategemea kura za raia kushinda?.
Vp kuhusu wananchi kuvaa kaniki na kupanga foleni ya sabuni na kiberiti?Katika siasa kila kitu kinawezekana..Ndio maana hata Hayati Julius alitawala kwa hii katiba na rasilimali za nchi zikalindwa.
Wewe hakuna ujualo zaidi ya kutaka watu wote tulie kilio chako ilhali tulipokuwa tunalia ulikuwa unacheka! Narudia tena kukuambia kuimba ni kupokezana ndgHujui siasa za Tanzania. Unadandia mada za wanaume.
Subiri 2025. Safari hii hakutakiwa na waraka wa wakatoliki bali waraka wa kupinga ufisadi.Wewe hakuna ujualo zaidi ya kutaka watu wote tulie kilio chako ilhali tulipokuwa tunalia ulikuwa unacheka! Narudia tena kukuambia kuimba ni kupokezana ndg
Endelea kujidanganya!! Naomba hii katiba iendelee kuwepo miaka ya uhai wako!! Utaishia kulia lia hapa jukwaani!!Katika siasa kila kitu kinawezekana..Ndio maana hata Hayati Julius alitawala kwa hii katiba na rasilimali za nchi zikalindwa.
Tuambie wewe bibi yako alivaa nguo gani au alifulia nini nguo zake wakati wa Nyerere km hajakujibu ni majani ya mipapai. Nchi hii hatutaki uzalendo wa kujifanya unakula mahindi ya kuchoma barabarani huku ukikwiba,kujenga uwanja wa ndege kijijini na kuteka na kuua wakosoajiHujui kitu pig
Utauandika wewe huo waraka? Hebu tuanzie hapaSubiri 2025. Safari hii hakutakiwa na waraka wa wakatoliki bali waraka wa kupinga ufisadi.
Mnaweza kuwa na katiba nzuri lakini ikasiginwa. Kwani hii katiba ya sasa inaruhusu ufisadi?Endelea kujidanganya!! Naomba hii katiba iendelee kuwepo miaka ya uhai wako!! Utaishia kulia lia hapa jukwaani!!
The inner circle will never allow the same mistake of 2015!! Take and mark my words popote utakapokuwepo!! Kama wewe siyo myopic utaelewa nachokisema
Achaneni na haya malalamiko, chukueni hatua. Kuondoka CCM hamtaki mmebaki kulalamika JF. Tunaposema nyie ni lile kundi ktk utawala ule wa giza ambalo maslahi yake yameathiriwa vibaya na awamu hii ya sita tunakosea?Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani.
Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania.
Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka.
Mzee Makamba anakudanganya unaupiga mwingi na 2025 utapita kirahisi. Sio kweli labda kama watanzania ni wajinga kama enzi za Chief Mangungo wa Msovero.
Wewe ni mpumbavuAchaneni na haya malalamiko, chukueni hatua. Kuondoka CCM hamtaki mmebaki kulalamika JF. Tunaposema nyie ni lile kundi ktk utawala ule wa giza ambalo maslahi yake yameathiriwa vibaya na awamu hii ya sita tunakosea?
Hujui kitu wew ni mweupe kichwaniHebu tuelezee namna gani hilo kundi linatutafuna? Tatizo la nchi hii mtu akikatiwa mrija wake anapiga kelele na kulia kilio huku akishawishi wananchi kuwa ni kilio cha jamii nzima! Nakukumbusha tu ndg kuwa kuimba ni kupokezana