Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Mbuzi mmojawapo huyu hapa. Yaani kuna watu wapumbavu sana nchi hiiHebu tuelezee namna gani hilo kundi linatutafuna? Tatizo la nchi hii mtu akikatiwa mrija wake anapiga kelele na kulia kilio huku akishawishi wananchi kuwa ni kilio cha jamii nzima! Nakukumbusha tu ndg kuwa kuimba ni kupokezana