Sio kila siku ni jumamosiNever underestimate the stupidity of Tanzanians,2025 diamond na harmonize watazunguka na CCM,mijitu itasahau Kila kitu huku kina zuchu na shilole wakikata viuno stejini...
Hivi tunavyoongea mabongo movie kama kina wema yako vijijini yanawapiga ma-hug wazee wanaojitolea kupigwa chanjo wasioijua
Huu mgao wa umeme ni wa kawaida.?Hebu tuelezee namna gani hilo kundi linatutafuna? Tatizo la nchi hii mtu akikatiwa mrija wake anapiga kelele na kulia kilio huku akishawishi wananchi kuwa ni kilio cha jamii nzima! Nakukumbusha tu ndg kuwa kuimba ni kupokezana
Kwani wewe chanjo ulizochoma utotoni unazijua? Hebu acha kuwa mpumbavu kupindukiaNever underestimate the stupidity of Tanzanians,2025 diamond na harmonize watazunguka na CCM,mijitu itasahau Kila kitu huku kina zuchu na shilole wakikata viuno stejini...
Wew ni shwaini kama jina lakoKwani wewe chanjo ulizochoma utotoni unazijua? Hebu acha kuwa mpumbavu kupindukia
Aya! Nenda Lumumba ukachukua buku saba,scumAcha ubwege wewe bikini
Maelezo yalishatolewa kwanini kuna mgao. Hivi ni kweli hamuoni ukame ulioikumba nchi toka mwaka jana? Tatizo nyinyi ni miongoni mwa wale watekaji mliofikiri ile ni ajira ya kudumu sasa mna hasira kufutwa hiyo ajira. Watu km nyie hamna tofauti na muuza majeneza anayechukia vifo kupunguaHuu mgao wa umeme ni wa kawaida.?
Miaka mitano iliyopita kulikuwa hakuna ukame? Kwa nini Makamba amenunua jenerator la Mw 20 kimyakimya.Maelezo yalishatolewa kwanini kuna mgao. Hivi ni kweli hamuoni ukame ulioikumba nchi toka mwaka jana? Tatizo nyinyi ni miongoni mwa wale watekaji mliofikiri ile ni ajira ya kudumu sasa mna hasira kufutwa hiyo ajira. Watu km nyie hamna tofauti na muuza majeneza anayechukia vifo kupungua
Nani atayabadilisha??.Mambo yatabadilika. Wizi wa kura utadhibitiwa. Muulize Jakaya 2010
Wewe ambaye sio shwaini hebu niambie lini uliithibitisha na kujua viambata vya chanjo ya polio na surua uliyochoma wewe na ukoo wako mzima?Wew ni shwaini kama jina lako
Wewe bikini ya shoga kaaa kimyaWewe ambaye sio shwaini hebu niambie lini uliithibitisha na kujua viambata vya chanjo ya polio na surua uliyochoma wewe na ukoo wako mzima? Mbona hujawahi kujiuliza viambata vya alkasus na mitishamba unayojichochea kuongeza nguvu za kiume kuwaridhisha wanawake wako?
Kama walishindwa kubadilika kwenye utawal wa uonevu na ukatili wa magufuli hawatabadilika tena!Kwani watanzania hawabadiliki? Ulifuatilia uchaguzi wa 2010? Jakaya alishinda kwa mbinde