Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Mbuzi mmojawapo huyu hapa. Yaani kuna watu wapumbavu sana nchi hiiHebu tuelezee namna gani hilo kundi linatutafuna? Tatizo la nchi hii mtu akikatiwa mrija wake anapiga kelele na kulia kilio huku akishawishi wananchi kuwa ni kilio cha jamii nzima! Nakukumbusha tu ndg kuwa kuimba ni kupokezana
Ulikuwa ni ukatili katika kuwaletea maendeleoKama walishindwa kubadilika kwenye utawal wa uonevu na ukatili wa magufuli hawatabadilika tena!
Mbuzi ingine hii hapa.Kuna watu wapumbavu sana, Hata enzi za Escrow na EPA maelezo yalitolewa na wapuuzi kama wewe mkakubali tu kama mbuzi.Kuna watu ni Wa""nge sana nyie mnaofumbia macho na kutetea upuuzi unaoendelea wakati wananchi wanateseka.Maelezo yalishatolewa kwanini kuna mgao. Hivi ni kweli hamuoni ukame ulioikumba nchi toka mwaka jana? Tatizo nyinyi ni miongoni mwa wale watekaji mliofikiri ile ni ajira ya kudumu sasa mna hasira kufutwa hiyo ajira. Watu km nyie hamna tofauti na muuza majeneza anayechukia vifo kupungua
kura yako ni moja tu kama utaenda kupiga kura ingawa watu km wewe hata kwenda kupiga kura huwa hamuendi unabaki kubwabwaja na chuki zako mtandaoni. Kushinda ni zaidi ya 90%Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani...
we hujui sababu ya mgao? Au unaishi nje ya nchi?Huu mgao wa umeme ni wa kawaida.?
Km kulikuwa na ukame Magufuli alikuwa anakojolea mitambo ijiendeshe au alikuwa anatumia nini. Hakukuwa na ukame km huu we zuzu na chuki zakoMiaka mitano iliyopita kulikuwa hakuna ukame? Kwa nini Makamba amenunua jenerator la Mw 20 kimyakimya.
Mimi nilifikiri wewe ni kati ya wananchi tunaoteseka kumbe ni wengine wanateseka!? Narudia tena kuwaambia kuwa kuimba ni kupokezanaMbuzi ingine hii hapa.Kuna watu wapumbavu sana, Hata enzi za Escrow na EPA maelezo yalitolewa na wapuuzi kama wewe mkakubali tu kama mbuzi.Kuna watu ni Wa""nge sana nyie mnaofumbia macho na kutetea upuuzi unaoendelea wakati wananchi wanateseka.
Kwani sasa hv Rais akiruhusu ufisadi utamfanya nn? Nani anauwezo wa kumkalisha hata kikao cha ukoo?Mnaweza kuwa na katiba nzuri lakini ikasiginwa. Kwani hii katiba ya sasa inaruhusu ufisadi?
Kwa mazingira ya kishenzi mliyojijengea nyie chama cha mambuzi kumuondoa mgombea wenu ni vigumu. Ndio muone sasa tunapodai marekebisho ya msingi ya katiba na tume ya uchaguzi tunataka nini. Hivi sasa nina uhakika wengi wenu hampendezwi na uongozi wa huyu mama ila hamna la kumfanya tume ya uchaguzi ni yake atatangazwa tu mtake au msitake.Hujui siasa za Tanzania. Unadandia mada za wanaume.
Wapinzani hawa wachumia tumbo, Kikwete aliwapa nafasi,mchakato ukafikia mwisho wakasusa,ela za Serikali na mda vikaharibika bure.Nakumbuka sana kipindi cha Magufuli wapinzani walipokuwa wanapambana Watanzania wapate katiba mpya mlivyokuwa mnawabeza!...
Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani.
Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania.
Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka.
Mzee Makamba anakudanganya unaupiga mwingi na 2025 utapita kirahisi. Sio kweli labda kama watanzania ni wajinga kama enzi za Chief Mangungo wa Msovero.
Sasa mnataka wapige tena kelele za nn nna ulishasema wachumia tumbo?Wapinzani hawa wachumia tumbo, Kikwete aliwapa nafasi,mchakato ukafikia mwisho wakasusa,ela za Serikali na mda vikaharibika bure.Magufuli aliwajua Wapinzani mapema ndio maana akuangaika nao,alijua tu wako kwajili ya matumbo yao.Sasahivi akina Mbowe Cop wamepewa buyu la asali,na kulipiwa nauli za kwenda ulaya, uwezi sikia wakipiga kelele kama enzi za Magufuli.
Hapo Sasa! CCM hawategemei sanduku la kura, sanduku la kura lao ni Polisi na Usalama wa Taifa.Kama Magufuli alishinda yeye Kwanini asishinde??, Na toka lini CCM wanategemea kura za raia kushinda?.