Rais Samia usidanganywe kuwa unakubalika sana na 2025 utashinda kirahisi kama Mzee Makamba anaepalilia ugali wa mwanae

Tafadhali sana; Makamba ni Makamba, na Samia ni Samia. Makosa ya Makamba hasira zake zielkezwe kwa Makamba mwenyewe na si kuhamishiwa kwa Samia, kisa tu Samia ni Rais. Samia hajamtuma na wala hawezi kumtuma Makamba kwenda kubwabwaja maneno ya kijinga kwa waTanzania
 
Rais Samia Suluhu tupo nae mpaka 2030 kwaiyo punguza makasiliko
 
Labda itoke kijani wakapotea kabisa
Kwenye siasa na uongoz wa nchi
Ila kijani kama wataendelea kuwepo
We sahau tu

Ova
 
Mkuu HUYU mlawi 10101 wanamjua kuwa ndie!!?

Au ni yale yale ya mgogoro Kati ya Bakwata na Roman ndipo waseme tukose wote Acha aingie protestant hiyo mlawi!!?

Rabbon!!!
 
Hebu tuelezee namna gani hilo kundi linatutafuna? Tatizo la nchi hii mtu akikatiwa mrija wake anapiga kelele na kulia kilio huku akishawishi wananchi kuwa ni kilio cha jamii nzima! Nakukumbusha tu ndg kuwa kuimba ni kupokezana
Niambie kitu gani hakijapanda Bei huko kwako

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Niambie kitu gani hakijapanda Bei huko kwako

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Kupanda bei kwa vitu( inflation) ni tatizo la dunia nzima sio Tz tu! Hujasikia huko Uingereza watu wanakula chakula cha mbwa kwa sababu ya hali ngumu ya maisha? Hao mafisadi wa Tanzania ndio wamepandisha gharama za maisha na bei za bidhaa dunia nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…