blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,774
- 9,913
Nikwamba ile 2025 baada ya awamu hiyo yeye kwa kuangalia mambo yalivyo na namna taifa lilivyo zingirwa na mafisi yeye angekaa pembeni ili kulinda heshima yake, Maana angali hata sasa mafisi ndiyo wanao faidi kula vizuri na kulala vizuri ila yeye ndiye anaoneka mbaya. maana yeye hana msuli wa kushindana nao angalia mauji ya 29oct namna ya memwaribia historia yake.Mambo yapi hayo kaka? Rais Magufuli alikufa, katiba ikamtaka Makamu wake ndiyo awe Rais. Na makamu wake alikuwa Samia Suluhu, kosa lake ni lipi hadi hapo? Wakora walitaka kuipindisha Katiba ili Makamu asiwe Rais kwa sababu zao. HAKUNA HAJA YA MARIDHIANO HAPO. Maridhiano kuhusu nini? Yaani maridhiano na watu walioshindwa kukupindua, sijawahi kusikia kitu kama hiko duniani.
Ndani ya wasioitaka serikali yapo makundi 3 makubwa ya watu wasiompenda Samia tu watu wasioipenda CCM na watu wasiompenda Samia na CCM pamoja. Hapo unafanya maridhiano na kundi lipi?
Ukiachia matumizi yasiyo sahihi ya neno mhanga,hakika andiko lako ni mujarabu,kuntu na limeangalia kwa upana sana mawanda ya siasa ya Tanzania.Shabaashi na kongole.Ama kuhusu neno sahihi bafala ya mhanga ni muathirikaWalikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombetumika baba wa watu. Nae ni mhanga wa wale ambao hawakutaka uwe Rais, Walimdanganya ili wamtumie kwa maslahi yao bahati mbaya amenasa tu hapo. Ndiyo maana wanahangaika mno ili atoke, they feel guilty. Muonee huruma hajui alilotenda. The actual bad people wako nje wanadunda.
Ni maoni yangu tu.
Hapa ndio unaona umecheza bonge la mind game. Voters turn out ya juzi inakataa hii upuuzi ulioandika hapa. Lisu hataki huruma ya huyo muuaji anataka kesi iendelee anyongwe ama aachiwe, hakuna popote anataka kuhurumiwa na muuaji wa watanganyika. Halafu katiba mpya sio ombi ni lazima.Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike.
Maridhiano nao hayana maana yoyote kwako na kwao, ni heri ufanye kile unachokiweza kuwahudumia wananchi. Kama ningekuwa mimi hata Katiba nisingeiandika kama wengine wakiwemo Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM walivyoacha kuiandika. Kilichowafanya wasiiandike upya usikipuuze hata kidogo.
Sio kwamba unatuongoza vibaya bali kwasababu zao wanazozificha nyuma ya demokrasia hawataki wewe uwe Rais wa nchi hii, ingawa sio wengi hivyo lakini wapo na wana mahusiano makubwa na wakoloni wetu, walikuja wote na wakaondoka wakawaacha, wapo na tunao.
Nadhani focus yako iwe kutumia kila senti yetu kwaajili ya watanzania, Katiba mpya haileti malisho kwa wafugaji wala mbegu kwa wakulima. Kwanza inatumia fedha nyingi sana kuiandika ambazo hatuna. Nafahamu wako watu ndani ya serikali wanakushauri uandike Katiba, changanya na zako. Kama ni rahisi hivyo Kwanini Mh. KIKWETE alishindwa kuiandika ikakamilika?. Sasa hivi lipo kundi kubwa sana la watanzania ambao wakati ule wa Tume ya Warioba walikuwa watoto, hivyo maoni yao hayakuwemo kwenye rasimu ile na sasa ni watu wazima ambao maoni yao pia lazima yajumuishwe kwenye Katiba ya 2030. HIVYO mchakato lazima uanze upya, na sio swala la kuanzia pale tulipoishia kama wanavyotaka wengine.
Usiyumbe na kuyumbishwa na kelele za ndani na nje za huyoo huyoo mchinje, mchinje, stay focused.
Hata huyu Lissu amejikuta tu ametumika baba wa watu. Nae ni mhanga wa wale ambao hawakutaka uwe Rais, Walimdanganya ili wamtumie kwa maslahi yao bahati mbaya amenasa tu hapo. Ndiyo maana wanahangaika mno ili atoke, they feel guilty. Muonee huruma hajui alilotenda. The actual bad people wako nje wanadunda.
Ni maoni yangu tu.
Kwa mwamposa?na Common Wealth pia hawamtaki kwa sababu zao?....basi ana Roho ya kukataliwa .Afanyiwe Deliverance
Kwa taarifa yako anayetaka maridhiano ni huyo Samia mwenyewe baada ya kuona hakubaliki. Nani mwingine nje Samia na wapambe wake umesikia wanataka maridhiano?Mambo yapi hayo kaka? Rais Magufuli alikufa, katiba ikamtaka Makamu wake ndiyo awe Rais. Na makamu wake alikuwa Samia Suluhu, kosa lake ni lipi hadi hapo? Wakora walitaka kuipindisha Katiba ili Makamu asiwe Rais kwa sababu zao. HAKUNA HAJA YA MARIDHIANO HAPO. Maridhiano kuhusu nini? Yaani maridhiano na watu walioshindwa kukupindua, sijawahi kusikia kitu kama hiko duniani.
Ndani ya wasioitaka serikali yapo makundi 3 makubwa ya watu wasiompenda Samia tu watu wasioipenda CCM na watu wasiompenda Samia na CCM pamoja. Hapo unafanya maridhiano na kundi lipi?
🚮 🚮 🚮Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike.
Maridhiano nao hayana maana yoyote kwako na kwao, ni heri ufanye kile unachokiweza kuwahudumia wananchi. Kama ningekuwa mimi hata Katiba nisingeiandika kama wengine wakiwemo Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM walivyoacha kuiandika. Kilichowafanya wasiiandike upya usikipuuze hata kidogo.
Sio kwamba unatuongoza vibaya bali kwasababu zao wanazozificha nyuma ya demokrasia hawataki wewe uwe Rais wa nchi hii, ingawa sio wengi hivyo lakini wapo na wana mahusiano makubwa na wakoloni wetu, walikuja wote na wakaondoka wakawaacha, wapo na tunao.
Nadhani focus yako iwe kutumia kila senti yetu kwaajili ya watanzania, Katiba mpya haileti malisho kwa wafugaji wala mbegu kwa wakulima. Kwanza inatumia fedha nyingi sana kuiandika ambazo hatuna. Nafahamu wako watu ndani ya serikali wanakushauri uandike Katiba, changanya na zako. Kama ni rahisi hivyo Kwanini Mh. KIKWETE alishindwa kuiandika ikakamilika?. Sasa hivi lipo kundi kubwa sana la watanzania ambao wakati ule wa Tume ya Warioba walikuwa watoto, hivyo maoni yao hayakuwemo kwenye rasimu ile na sasa ni watu wazima ambao maoni yao pia lazima yajumuishwe kwenye Katiba ya 2030. HIVYO mchakato lazima uanze upya, na sio swala la kuanzia pale tulipoishia kama wanavyotaka wengine.
Usiyumbe na kuyumbishwa na kelele za ndani na nje za huyoo huyoo mchinje, mchinje, stay focused.
Hata huyu Lissu amejikuta tu ametumika baba wa watu. Nae ni mhanga wa wale ambao hawakutaka uwe Rais, Walimdanganya ili wamtumie kwa maslahi yao bahati mbaya amenasa tu hapo. Ndiyo maana wanahangaika mno ili atoke, they feel guilty. Muonee huruma hajui alilotenda. The actual bad people wako nje wanadunda.
Ni maoni yangu tu.
Labda wamemkataa baada ya kushindwa kutimiza aliyoahidi kwenye kampeni.Alipata 98% ya kura kuliko rais yeyote nchini kama chawa wake unadhani hizo kura ni halali na kama ni halali hiyo 2% ndiyo wanamsumbua.
Hebu tuanzie hapo kwanza majibu yako ndiyo yatazalisha maswali mengine
Wewe kuna kitu unakibembeleza kutoka kwa huyo muuaji.Sio kwamba unatuongoza vibaya bali kwasababu zao wanazozificha nyuma ya demokrasia
Walimkataa siku ileile ya uchaguzi ndiyo hiyo asilimia 2?Labda wamemkataa baada ya kushindwa kutimiza aliyoahidi kwenye kampeni.
Tayariii!! Ni wahuni tu hawa.unachanganya mambo, raisi wenu hata level ya afrika hamtoshi, hivyo hao madikteta wote uliowataja bado wana afadhali ya mara 10, thats how bad it is ...
Ndiyo maana tunasema chadema baaado kabisa kupewa nchi. Unachoma lindo linalolindwa na askari wenye bunduki unategemea nini? Yaani uchome kituo cha polisi halafu uwe hai uliona wapi hiyo?Wewe kuna kitu unakibembeleza kutoka kwa huyo muuaji.
Yaliyotokea 29/10 hukuyaona!?
Au Kwako wewe hayo yalikuwa moja ya mambo mazuri katika uongozi wake ndio maana unamdanganya kwamba hatuongozi vibaya?
Kuwa CHAWA sio lazima ujitoe ufahamu kwa kiwango hiki.
Sijakuquote wewe nduguWangemkataa msingekuwa na haja ya kuvuruga uchaguzi
Wamemkataa kwa sababu ameua Watanganyika zaidi ya 10,000.Labda wamemkataa baada ya kushindwa kutimiza aliyoahidi kwenye kampeni.
MAuaji yale yamemnyanyua juu. Dunia inamuandika kama Rais mwanamke aliyezima uasi kwenye taifa lake. Mwanamke shupavu. Ndiyo maana unaona marais wanamiminika kuja Tanzania hata sasa. Wewe hujui tu, Rais Samia anaongea na marais wengine hata wale wa ulaya, Amerika, Asia na Afrika kila siku. Wanampongeza kwa kuwa mwanamke anaemudu kuwadhibiti wanaume wakora. Ndiyo maana hujawahi kumsikia Rais, Trump au Macron au Stamer au Putin au Ramaphosa au mwingine yeyote anamlaumu Samia popote.Nikwamba ile 2025 baada ya awamu hiyo yeye kwa kuangalia mambo yalivyo na namna taifa lilivyo zingirwa na mafisi yeye angekaa pembeni ili kulinda heshima yake, Maana angali hata sasa mafisi ndiyo wanao faidi kula vizuri na kulala vizuri ila yeye ndiye anaoneka mbaya. maana yeye hana msuli wa kushindana nao angalia mauji ya 29oct namna ya memwaribia historia yake.