Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

Bi chura yupo madarakani kwa jasho na damu za watoto wetu

Hawezi kukubalika hata na vichaa!
 
Ulitaka tufe Watanganyika wote?
Ila Wazanzibar mna roho mbaya
Tanzania nchi salama sana kati ya nchi za Afrika, ni kimbilio la wakimbizi kutoka nchi nyingine. Ni nchi inayovutia hata wachezaji wa kigeni Afrika na nje ya Afrika. Ni nchi ambayo hata wachezaji hawataki kuondoka hata baada ya kuachwa kwenye timu zao au kustaafu kucheza. Ila tz ni nchi hatari sana kwa vibaraka na makuwadi wa mabeberu.

Asikwambie mtu tz ni moja kati ya mataifa yenye ulinzi mkali na hodari barani Afrika. Kama unataka uishi kwa shida cheza na amani na utulivu tuliouzoea. Hata kwa bahati mbaya nchi hii haiwezi kupewa mtu anaeungwa mkono na EU au Jumuiya ya madola au nchi ngeni yoyote. Usifikiri tz haijawahi kujaribiwa ili nasisi tupigane kama wengine.

Kama mazazi wako hakuambii acha kuichokoza serikali basi atakuwa anafanya kosa kubwa sana kwako na kwake. Mwl Nyerere alipoona Mrema Lyatonga alikuwa akikaribia kushinda uchaguzi alilazimika kupanda jukwaani kumpinga.
 
Toka usingizini we mburula tuko mwaka 2026 sio mwaka 1967
Yaani unaongea kama mtoto wa chekechea
 
Toka usingizini we mburula tuko mwaka 2026 sio mwaka 1967
Yaani unaongea kama mtoto wa chekechea
Kaa hapohapo usitoke. Mchoro mzima unafahamika nani ni nani na nani alikuwa nani.

Narudia tena, Rais Samia asiandike Katiba mpya kwenye mazingira haya, wala haja ya kufanya maridhiano na ndezi yeyote ambae hakutaka awe Rais baada ya JPM kufa. Hata yeye anajua watu hao ni rangi kijani wenzake. HUYU Lissu na chadema niwaathirika tu wa mpango huo wa watu wa kijani wenzake, maana kunguru hana kibiyongo, kama ukiona kibiyongo kainama anaokota kitu. Itabidi umuwahi kabla hayaruka ili asije akaruka na kifaranga chako.

Wahuni walimchomekea Rais agenda ya Katiba mpya kwenye Ilani na hotuba yake, mfupa uliowashinda watangulizi wake.
 
Toka usingizini we mburula tuko mwaka 2026 sio mwaka 1967
Yaani unaongea kama mtoto wa chekechea
Mwaka 1967 nilikuwepo na 2026 nipo pia, nayajua yote. Mtashindana lakini hamtashinda. Mwanaume kugombana na mwanamke unaonekana failure na mpumbavu.
 
Ulitaka tufe Watanganyika wote?
Ila Wazanzibar mna roho mbaya
Hivi hata wewe unaweza kumtuma mwanao aende akachome moto jengo la ofisi ya serikali ya mtaa na kituo cha polisi? Ni mjinga pekee anaweza kufanya hivyo. Na kama polisi walikuwa wanaua watu hovyo mitaani basi hata wewe ungeshauliwa. Idadi ya wanaopotea ni ama wametekwa na wenye wake zao, waliodhulumiwa mali zao au waliotekwa na chadema na kuisingizia serikali. Vinginevyo ni kama utajihusisha na ukibaraka na ukuwadi wa mabeberu.
 
Mnapendaga kuona mama zenu nyeti zao zikitajwa hovyo hovyo ?
Nyeti za wakina mama zinafanana zote, yaani ukitaja nyeti ya mama wa mwingine umeitaja na ya mama yako pia hapohapo wakati huohuo, na inawezekana ya mama yako ikawa chafu kuliko ya mama mwingine. matusi sio mazuri hata kidogo.

Huwezi kukaa kitako na mtu anaetukana ovyo eti mfanye maridhiano kisha muandike Katiba. Huwezi kumtengenezea njia rahisi ya kufika Ikulu mhuni anaetukana ovyo.
 
Toka usingizini we mburula tuko mwaka 2026 sio mwaka 1967
Yaani unaongea kama mtoto wa chekechea
Kaka unawakumbuka wanaCCM kindakindaki waliojiita G55?, unajua namna hoja yao ilivyozimwa? unajua ilizimwa na nani? unajua walikuwa wanataka nini?.

Kama Mwl Nyerere angekuwa hai angeshamzaba kibao Jaji Warioba na kundi lake.
 
Kaka unawakumbuka wanaCCM kindakindaki waliojiita G55?, unajua namna hoja yao ilivyozimwa? unajua ilizimwa na nani? unajua walikuwa wanataka nini?.

Kama Mwl Nyerere angekuwa hai angeshamzaba kibao Jaji Warioba na kundi lake.
Huna akili shetani wewe
 
Wao kuchoma moto mali za kina Diamond na wasanii wengine kisa wapo CCM halikuwa kosa lakini wale wahuni kutiwa adabu eti likawa kosa kubwa kisa cha kudai SSH atashtakiwa huko The Hague!.

Walileta masuala ya kihuni wakapokelewa kihuni kuliko walivyotegemea.
 
Una uhakika sudani haiko Jumuiya ya madola? Una uhakika chadema itakupatia maisha bora kuliko uliyonayo sasa, how?
Sudani haikuwa kwenye post. Hata hivyo nilikwenda kuhakikisha ili nisilopoke.
Orodha ya nchi za Kiafrica zilizo Commonwealth ni hizi hapa.
Sudan ni nchi ya Africa last time I checked. Haimo.
 
Hapo umewazungumzia chadema, ila mm sio chadema na simtaki samia.
 
Kwenye jamii kuna makundi ya watu wenye nia na malengo tofauti, ukitaka kujua wapo wakwamishaji wengi angalia namna DP World alivyotaka kunyimwa kufanya uwekezaji hapo TPA.

Ilibidi SSH aachane na masuala ya wengi wape akahakikisha wanapewa kuendesha bandari akiwaacha wakiwa kimya wale wote waliopinga uwekezaji ambao unasaidia kuinua pato zima la Taifa.

Jamii nzima ya wasomi na wasio wasomi kwenye nchi ikishaweza kuwekwa chini ya himaya ya kundi la matajiri wachache hatari inayozaliwa ndio hii iliyopo Tanzania tangu SSH awe rais wa awamu ya sita.

Maisha ya kuongozwa na nia za washenzi wachache wenye kumiliki vyombo vya propaganda yanataka kuiharibu kabisa Tanzania tunayoifahamu kero ni kwamba wahusika wapo ndani ya CCM wametuzingua tangu alipoaga dunia JPM mpaka leo hii.
 
Kuna wapuuzi wanatishia kuandamana mwakani siku michuano ya AFCON itakapoanza.

Hawa wanataka katiba mpya kwa akili hizi za kishenzi wanazotembea nazo vichwani mwao!.

Lengo lao kuipaka matope nchi, ni uendawazimu unaoishi na kupumua ukiwa umejificha kwenye siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…