Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.

Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.

Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.

Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.

Najua huwezi Kuniangusha Mama.

Cc: adriz
Ni lazima tupate Mwislam mwenzetu safari hii. Acha mbwai iwe mbwai.
 
Be serious bro!!nchi inawatu milioni 62!unasema hakuna wa kuchukua nafasi ya CDF anayeondoka?!mbona yeye alipstikana?walikuwepo,mboma,Mwamunyange,nk,wapo kibao tu.
 
Acha hizo wewe watanzania wapo wengi wenye ujuzi kumzidi hata mabeye sema mitanzani elimu yenu ina mashaka Sana.

Hata jpm mlimsifia Sana Tena mpaka bungeni sisi wenye akiri tukawa tibaona tunaongozwa na boys, mshamba na asiyekuwa na sifa ya uongozi hata chembe. Ajaja Samia kumproove wrong kwamba nchi haipaswi kuongozwa vile.

Magufuli angeendelea tayari angekuwa ameshatengeneza ugaidi ndani ya nchi. Samia kaleta harmonization na tunaona nchi ipo shwari kabisa.

Mlifikia hatua ya kusema jpm aongezewe mda wa urais na yeye alivybogus akalishilia Hilo Tena kwa kujigamba kwamba hakuna Kama yeye. Sisi wenye tukawa tunamchora tu.

Ndugu Kuna watu wengi wenye akiri na mbunu nyingi sema ufinyu wako wa akiri unahisi na mabeyo tu Kama nilivyokuwa mnasema na kutaka katiba ibadilishwe jpm aongoze milele na yeye mwenyewe alikuwa hajijui Kama ni bogus kiasi gani
Mwandiko gani huu? Faiza Foxy fuatilia elimu na uelewa wa huyu mdau, huenda
shuleni alienda kusomea ujinga.
 
Kabla ya Mabeyo alikuwepo Davis Mwamunyange na kabla ya Mwamunyange alikuwepo Robert Mboma....baada ya Mabeyo yupo mwingine atakuja tu..

Hakuna binadamu special duniani, kila binadamu anareplacemeny yake kwenye kazi, wakati wakupumzika au kustaafu ukifika mhusika aende na wengine wakae...
anareplacemeny
 
Yaani kwa Uandishi huu unajiona una akili sana mzee.....sasa mi nakwambia ukweli, we jamaa ni empty sana humo kichwani. Kuandika tu kunakupa shida, sasa utaweza kweli kuwaza vitu vya kiakili?
Ukiona mtu anajifanya kujua kila kitu muogope Sana
 
Jeshi bila Mabeyo inawezekana, akina Mayunga walifanya kazi kubwa sana kushinda akina Mabeyo walinzi wa CCM waliondoka na jeshi bado linaendelea.
 
Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.

Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.

Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.

Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.

Najua huwezi Kuniangusha Mama.

Cc: adriz
Hivi wewe una akili timamu kweli? Nina mashaka makubwa na kichwa chako utakuwa na serious problem.

Njoo Monduli kwanza tukufundishe kwa uchache tu JWTZ ni nini.

Halafu umekaririshwa tu Eagle house wakati hujui ndani ya JWTZ kuna kitengo.

Kwa kifupi wewe ni mshamba fulani tu mjingamjinga.
 
Tell her
 
Nafasi yake ina mtu tayari wapo majenerali 6 ambayo mmoja wapo anauwezo wa kuwa mkuu wa majeshi vizuri sana na hao wote kikwete ndio aliwandaaa wakati anaondoka hta mabeyo kikwete ndio alimuandaaa ila akamuegesha mahali Magu alipokuja akamteuwa kuwa mkuu wa majeshi akijua yeye ndio kamuweka kumbe ulikuwa mtego tu
 
Back
Top Bottom