Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

Kweli kabisa.
 
Watu wa Magufuli ni zaidi ya asilimia 95 ya Watanzania...kwa hiyo wanamdanganya Rais eti asifanye kazi na kundi hili la Watanzania...wanaosema hivyo wanamhujumu Rais wetu...
 
Sukuma gang mnadhani mnaweza kumzuia Samia kuwa Rais 2025-2030?

Acha nicheke kwa dharau 🤣🤣🤣


Rudini tu mkachunge ng’ombe sahauni hii nchi kuongozwa tena kikabila na kikanda wapuuzi nyie
Hebu peleka upumbavu wako huko

Kwa ujinga wako unafikiri Sambovu anaweza kuwa Rais tena baada ya 2025?

Labda atakuwa Rais wa vipofu au akagombee huko kwao kwa wala urojo
 
kwanza tuambiwe na mifumo rasmi ya uchunguzi Dr. Magufuli alikufa je? kila nafsi itaonja mauti ila tunataka tu kujua ilikuwa je mpaka mzee wa watu akafikwa na umau

Mpuuzi wewe kwa iyo Kagera, Mara, Dodoma na Morogoro kumejaa wasukuma??😂😂😂

Kweli nyie jamaaa ni washamba na wajinga sana!!

Na kwa ukabila wenu huo sahauni tena kushika madaraka ya hii nchi wajinga nyie
Hivi bulaza sorry lakini hivi unajua kilanja mkuu wa hiyo mnaita sukuma gang anayokea mkoa gani???
 
kwanza tuambiwe na mifumo rasmi ya uchunguzi Dr. Magufuli alikufa je? kila nafsi itaonja mauti ila tunataka tu kujua ilikuwa je mpaka mzee wa watu akafikwa na umauti?
Yaani mnahoji waliokufa kwa kuumwa ila hamhoji waliopotezwa?? Wahuni nyie Mama atawashughulikia sana
 
Acha kuongea upuuzi jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu ni nini kama sio udikteta?
Wewe huna akili

Unawaza Tundu Lisu tu

Tundu Lisu ni mdomo wake usio na breki ndiyo ulimponza, anaongea tu bila nukta

Anamtukana Rais wa nchi utadhani ni mdogo wake

Kuna namna ya kukosoa ila siyo kwa style aliyokuwa akitumia Lisu, ni kukosa hekima na adabu

Kama hujui basi ngoja tukuambie, hakuna Rais ambaye siyo dikteta na hakuna Rais ambaye hakuwahi kuua watu

Wapo Marais hapa hapa Tanzania wameua maelfu ya watu kwa makafala mbalimbali
 
kwanza tuambiwe na mifumo rasmi ya uchunguzi Dr. Magufuli alikufa je? kila nafsi itaonja mauti ila tunataka tu kujua ilikuwa je mpaka mzee wa watu akafikwa na umauti?
Kilichomuua Magufuli ni:

1. Kusema hakuna Corona

2. Kusema Tanzania imeishinda Corona kwa maombi

3. Kukataa lock down ya Corona

4. Kukataa kupima watu Corona

5. Kukataa kutoa takwimu za Corona

6. Kuziponda chanjo hadharani

7. Kukumbatia zaidi tiba asili kuliko za hospitali

Ila yeye binafsi hajafa kwa Corona na kila alichosema kuhusu Corona ni kweli tupu
 
Wazanzibar kama wanaakili kweli hii ndio nafasi ya kudai katiba mpya wapate nafasi ya kutambuliwa kimataifa kama nchi wasubiri rais atakapotoka Tanganyika ndiowaanze kupiga kerere za kutaka kutambuliwa kimataifa.
 
Acha uzandiki nyinyi ndio miongoni mwa wanaompiga mama Vita, kwani mama kaharibu wapi, muacheni huyu mama afanye kazi acheni kuwa na fikra za hovyo za huyo mwenda zake aliye iba na kuharibu uchumi wa nchi.
 
Hapo sio kweli, hakuna raisi aliesumbuliwa na wapimzani kama magu! Hii inajithibitisha kwa matendo yake..
Kuteka/kupoteza watu, kuwapiga risasi mchana kweupe, kununua watu, kuwatisha wapinzani na hata kufuta kbsa mikutano ya kisiasa"

Alipata shida sana!!
 
Mama kwa sasa hivi alitakiwa toka mwanzo aende kimyakimya sana na S gang bila kumnanga mtangulizi wake hadhari kwa mapema
 
Wapinzani kwa sasa hawana ishu kabisa

Tatizo lipi humo kwake ccm
 
Hata masanja mkandamizaji kwenye hii nchi akigombea CCM anaweza kushinda........hamna jibwa uchaguzi ukifika,TISS,polisi,wanajeshi,walimu wote wanaisaidia CCM ibaki madarakani maana ndio ulaji wao ulipo
Ondoa walimu hapo kwenye orodha yako mkuu
 
msaada pekee wa kumsaidia ni ajiuzuru na sisi tutamheshimu na kumuenzi kama kiongozi mwenye akili ,kwakuwa nchi imemshinda
 
kwanza tuambiwe na mifumo rasmi ya uchunguzi Dr. Magufuli alikufa je? kila nafsi itaonja mauti ila tunataka tu kujua ilikuwa je mpaka mzee wa watu akafikwa na umauti?
Alikufa kwa kutolewa roho na ISRAELI baada ya muda wake wa kuishi hapa duniani kupita,Sasa alikufanyaje kvp?haya alikufa akiwa amelala chali,umeridhika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…