Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

Uko sahihi 100%.
 
Kizazi kimebadilika hiki, kama ccm ilikuwa na uwezo wa kushinda kwanini ilipika idadi ya wapiga kura? Ni kweli ccm ingeweza kushinda kiti cha urais hata kwa kura halali kwa sababu za kihistoria, lakini ungekuwa ushindi mwembamba sana, na ccm isingeweza kupata 2/3 ya wabunge inayowawezesha kuamua chochote huko bungeni watakavyo. Ukweli huu unaumiza.
po ndio unajivunjia heshima kabisa. Nani angeliishinda CCM 2020 ? Kwa upinzani uchwara huu. Endelea kujidanganya.
 
Sikiliza we mkabila! Tanzania haiongozwi kikabila na Kama mmezoea ukabila kutokana na asili zenu za Burundi huko jueni tu Tanzania hamtofanikiwa.

Watanzania hatuangalii mtu anatoka wapi. As long as tunamuona anafaa kutuongoza, hatuna shida nae.
Tunaangalia Bwana. Kwa mfano kama unatoka uchaggani hatukupi urais. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Mimi upinzani niliupenda sana tu hasa CHADEMA, Lakini siku Mwenyekiti alipobadili gia angani na kumpitisha mtu aliyesemwa sana na wapinzani kwamba ni fisadi kugombea uraisi, kuanzia siku hiyo nikakata tamaa na upinzani kabisa. Ya au mhhh.
 
Aachiwe ngazi arudi zenji kwao na sisi tuweke rais wetu hata kama ni kichaa kama Magufuli
 
Bei za mafuta,bei za bidhaa madukani,bei za gesi eti wafanyabiashara watapanga bei mmesahau wao ni watafuta faida? Nchi ni kubwa na watu wapo wengi.
 
Kesi ya Sabaya mbona hujaiweka. Na.4 na 5 sikubaliani nawwe
 
Mkuu shikamoo......
 
Umezunguka weee ila nia yako amtoe Mbowe kwenye ugaidi
 
Ni ukosefu wa busara mtu kujinasibu kupambania cheo chako. Cheo hakipambaniwi. Ukiwa na fikra za kupambania cheo, KATU huwezi kuwa Mtendaji mzuri abadani. Maana focus yako itakuwa ni cheo na si mahitaji halisi ya watu wako.

Ndo maana kila hitaji muhimu la binadamu limepanda,utafikiri hakuna Kiongozi katika nchi. Imekuwa kama nchi ya Kusadikika chini ya Mfalme Juha. Kumbe watu wako bize kupambania vyeo badala ya kuwatumikia wananchi.

Usifanye hivyo mama, wewe wafikirie wananchi, afu wao watakilinda cheo chako kwa mema utakayowafanyia, na siyo kujifikiria wewe kwanza. Cheo ni mapito tu Mama, kisikuwazishe sana!
 
.
 
Unaahirisha tu tatizo, maslahi binafasi hayajawahi kuwa mhimili wa taifa lolote...Mama akubali systems zifanye scrutiny ya uhakika na ya kweli ya wazi kisha aunde serikali ya umoja wa kitaifa kuelekea kutengeneza katiba ya wananchi itakayo komesha madaraka ya mtu yanayosaidia kuwapa nguvu kundi linalofanikiwa kuingia madarakani...Ilipofika hapa tusipoangalia nchi itaingia kwenye sintofahamu kwakua information flow ni kubwa na huwezi tena kuburuza watanzania ambao wengi wana uelewa wa mambo

Condition ya kuingia kwenye hiyo serikali iwe baada ya kuweka katiba hutarushusiwa kugombea kwa miaka kumi mfululizo na wote waliokiwemo akiwemo Rais watajhakikisha usawa na democracy inatekelezwa kwa huo muda wa miaka kumi kama kundi maalumu la kujenga institutions za nchi hii

Time frame iwe kuanzia 2022 mpaka 2025 ili tuingie uchaguzi mpya tukiwa wamoja kama taifa na ndiyo itakuwa mwanzo mpya wa Rais aliyechaguliwa baada ya huyo tuliyemchagua kufariki dunia
 
Ninachokiona mie mkuu ni hiki CCM ni majiziya kula asilani na wabakaji wa uchaguzi abadani nitafurahi sana kma wanainchi tuweze kuwapigia kura wabunge wa upinzani kwa wingi zaidi ili wabunge wamuendeshe
 
Mama huyu ni Pole Pole na wala asikuumize kichwa ,chapa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…