Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

DAWASA nao wameanza kukata maji bila sababu wala taarifa
 
Hazina "System iko down" tunashindwa kulipa madai ya watumishi.
 
Huo mfumo uliutengeneza wewe ili utuambie hauwezi kua na hitilafu?.Mambo mengine mbona niya kawaida.huu ujinga wa kila kitu kukimbilia kuwaza kua ni hujuma uku wewe mtoa lawama huna chochote ulichowahi kukitengeneza kwa ajili ya nchi ni uzwazwa.Pelekea tanesco mfumo wako wakiukataa ndo uje useme hicho ulichokisema ila kulalamikia mifumo ya watu wengine na hautaki kujiridhisha kama kweli inawezekana kuna tatizo la kiufundi ni kujifanya mjuaji kumbe hewa tu.sio kila kitu nichakukipa mtazamo hasi.wacha mamlaka zifanye kazi zao na wataalamu wafanye wajibu wao.
 
BTW Waziri Kelemani hatujamsikia akitoa neno au naye ni moja wao?
 
Umshaliwa ww tena na hivi kichwa yako haina miba laini kinoma
 
Control Number au Gepg ilianza mapema kabla ya Hayati,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kwa mfano kama kweli ni hujuma ulitarajia wasemeje?
 
Huyu mama akiumaliza hata huu mwaka sijui. Maana dalili zote zinaonekana kwamba kuna mambo mengi sana hayawezi.

Hivi hawa wasaidizi wa JPM hawakujifunza chochote kwake?
 
Mtahangaika sanaaaa kufuta legacy ya Yule kwamba Lakini mtaendelea kujua wake wanapatikanaga mmoja mmoja Kwa Karne ktk Kariba ya uongozi.


Haya endeleeni kupendekeza watolewe kina Nani wengine ili muwe free 100%.

Mliambiwa SSH ni copy and paste ya JPM mkabisha,basi ni mapema sanaaaa Muda ni mwalimu mzuri tu.
Nawasalimu Kwa jina la jamhuri na KAZI iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…