Ukiwa mbabe unapigwa. Ndio ucheke na hawa waja? Seriously, ilianza mafuta bila mark for few days. Ikaja TRA. I hope Bandarini was a misleading information. Maara Tanesco. Manual operations lead to an exposure of revenue lossesHata utawala ulitopita wapigaji walikuwepo
Upigaji kwetu ni hulka
Ova
Si awabwage tu,watu wawili kitu ganiWanaomhujumu Mama ni wengi chamani na serikalini ila wanaongozwa na watu wawili.
1. Kiranja Mkuu
2. Yule Kiongozi wa Mhimili mwingine.
Bado unasumbuka na mzimu wa Mwenda zake?Alaumiwe Magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara
Kwani ili la Tannesko na mengine ni umesikia kwenye chombo Gan itafika muda mtakubal tu watu wapo giza ukoTatizo magufuli alilazimisha kampuni/mashirika yote za serikali kuwatumia TTCL kwenye maswala ya mawasiliano wakati TTCL wenyewe hawajiwezi. Tatizo halijaanza leo kwenye mawasiliano ila kwa kuwa haikuruhusiwa kutoa taarifa enzi zake wengi mtaona ni jambo jipya kwa kuwa tu limewagusa wengi (watumiaji hata wa hali ya chini) Watu wanaolipa kodi TRA wameshazoe hali hii mbona.
Mpaka March 2021[emoji3][emoji3][emoji3]Huu upumbavu haujawahi tokea tangu 2015, kwanini hivi sasa?
Alaumiwe Magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara
Lini ulikaa giza kwaio walivyo kua hawatangazi umeme ulikua unapata au? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Twenden pole pole mbona mtakubal tuWakati wa Jiwe walikuwa hawaruhusiwi kutangaza lakini Luku ilikuwa inashida tu na hawatangazi
Huu ni uongo, watu wanatafuta loophole kila leo wakipata upenyo wanafanya kutegemea na boss yupoje. Wanaona Kama mama ni soft
JPM alifanikiwa kutimiza kazi zote kwa style yake, sasa mwambie huyo SSH na yeye atimize kazi kwa style yake, kama ni mipasho itafanya kazi kama kwenye kanga sawa, tunasubiri tuone hizo kazi tu...
Huu upumbavu haujawahi tokea tangu 2015, kwanini hivi sasa?
Endeleni kumchokoza Mama, akigeuka kuwa mbogo tutatafutana kwa tochi
Mpaka kuua watu nakuwabambikia kesiJPM alifanikiwa kutimiza kazi zote kwa style yake, sasa mwambie huyo SSH na yeye atimize kazi kwa style yake, kama ni mipasho itafanya kazi kama kwenye kanga sawa, tunasubiri tuone hizo kazi tu...
Ni kweli. System ni rahisi kuchezewa Na ufumbuzi ni kupata watu waaminifu kweli kweliHii mifumo ya kielectronic ufaa Sana kwa wenzetu wenye package kama motisha na sio kwenye hizi nchi zenye mshahara wa mwezi ni SAwa na posho ya mbunge ya siku system zinataka uaminifu maana ni rahisi sana kuchezewa
Jibu rahisi
Watu hawaeleweki kabisa wakati wa JPM mlisema amebana pesa sasa watu wanataka kuleta mzunguko wa pesa mitaani mnaanza kulalamika tena?! Madhara ya kutaka pesa zirejee mitaani ndiyo hayo sasa.Kuna mtu anatengeneza mwanya wa kupiga hela!
Ova
Itakuwa kama sikuzile za jk jamaa aliitwa toka Brazil kuja kufunga NATI kwenye mitambo ya Dowans ndipo umeme ukawaka nchi nzimaNilitaka kuonyesha kuwa hii mifumo huwa sometimes inapata changamoto..kuwa nyeti sio guarantee kuwa haitopata dosari...lakini pia sikatai kuwa inawezekana kuna wajanja wanataka kupiga hela za maintainance kwa kuchokonoa systems.
Wewe ni mpumbavu sana!Tatizo magufuli alilazimisha kampuni/mashirika yote za serikali kuwatumia TTCL kwenye maswala ya mawasiliano wakati TTCL wenyewe hawajiwezi. Tatizo halijaanza leo kwenye mawasiliano ila kwa kuwa haikuruhusiwa kutoa taarifa enzi zake wengi mtaona ni jambo jipya kwa kuwa tu limewagusa wengi (watumiaji hata wa hali ya chini) Watu wanaolipa kodi TRA wameshazoe hali hii mbona.
Kwa akili yako kubwa unafikiri hii haina sheria au mifumo ya kiuongozi?Usitetee uovu wewe,nchi huongozwa na sheria za nchi na siyo sheria au matakwa binafsi ya kiongozi,Magufuri kwa asilimia kubwa ameacha ugonjwa ambao kuutibu itachukua muda mrefu,labda mama Samia ajiongeze kwa kuteua Waziri mkuu mwingine ambaye falsafa zitaendana lakini akimwachia huyu mwenye falsafa ya kimagufuli,utawala wake utayumba tu apende asipende.