Rais Samia: Vijana wanatutukana tu huko "Twitter Republic" na tunastahili

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,532
Reaction score
3,192
"Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu.

Lakini ni nguvu kazi nzuri, wamefunzwa maadili JKT ni vijana wazuri kwa Taifa wamefunzwa uzalendo, hawana cha kufanya.

Kazi ni kuhamia "Twitter Republic" watutukane kule na tunastahiki kwa sababu tumewasomesha hawana kazi za kufanya.

Leo hili mlilolifanya, vijana wanatoka JKT mnawadaka mnawafundisha, tunawawapatia nyenzo wanakwenda kujitegemea ni jambo kubwa sana. " - Rais Samia Suluhu Hassan

Chanzo: Clouds TV

Bila bandar kurudi ni porojo.
 
"Tunastahili" hili ni pigo kubwa kwa machawa wote humu!!
 
Punguza kuingiza Uislam kila mahali mkuu. Hauwezi kuchangia kitu bila kulinasibisha na dini?
Maasikofu wetu wameenda shure, si uriona mkutano wetu temeke?

Mishee yao ya kiisiramu kazi ubwabwa tu.
 
"Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu.

Lakini ni nguvu kazi nzuri, wamefunzwa maadili JKT ni vijana wazuri kwa Taifa wamefunzwa uzalendo, hawana cha kufanya.

Kazi ni kuhamia "Twitter Republic" watutukane kule na tunastahiki kwa sababu tumewasomesha hawana kazi za kufanya.

Leo hili mlilolifanya, vijana wanatoka JKT mnawadaka mnawafundisha, tunawawapatia nyenzo wanakwenda kujitegemea ni jambo kubwa sana. " - Rais Samia Suluhu Hassan

Mama huwa namwelewa sana. Ni msema ukweli.
 
Huyo jamaa anayetingishs kichwa muda woote utadhsni yuko serious,😅😅
 
Back
Top Bottom