Rais Samia: Vijana wanatutukana tu huko "Twitter Republic" na tunastahili

Rais Samia: Vijana wanatutukana tu huko "Twitter Republic" na tunastahili

Utaharibu hali ya hewa mzee

Sasa Saa 100 apewe RKO bila kuhusisha dini yake...soon kamasi lazima zimtoke
Mmisiramu hii haina erimu, inajuaga kutafutaga hera kwa wizi tu.

Rione, rimeshauzaga mibandali yetu yote. Sasa Ivi rina hera kuriko rire ra msoga.
 
Huyu mama ni Muungwana sana.
Maneno yake yanafariji
 
Angewaambia wanaoiba hela badala ya kuzipeleka China au Switzerland au Dubai badala yake wafungue viwanda na kuajiri vijana hata wakiiba nao waliiba pia potelea pote

Vijana poleni sana

Mafisadi wasisiem wanaogopa kuwekeza kwenye nchi yao mana sera za nchi zipo kwa ajili ya kuwatia umsikini wananchi wao.
 
"Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu.

Lakini ni nguvu kazi nzuri, wamefunzwa maadili JKT ni vijana wazuri kwa Taifa wamefunzwa uzalendo, hawana cha kufanya.

Kazi ni kuhamia "Twitter Republic" watutukane kule na tunastahiki kwa sababu tumewasomesha hawana kazi za kufanya.

Leo hili mlilolifanya, vijana wanatoka JKT mnawadaka mnawafundisha, tunawawapatia nyenzo wanakwenda kujitegemea ni jambo kubwa sana. " - Rais Samia Suluhu Hassan
 
be193260726e42e791cf68bb83ed2518.jpg
 
Ameongea vizuri sana, hakika nampongeza.
Ila wateule wake hao alio wakumbatia hii kamwe hawataipenda, lazima watafute namna wamtengenezee ajali nyingine kama walivyomfanyia kwenye issue ya bandari.
 
Back
Top Bottom