Bila bandar kurudi ni porojo."Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu.
Lakini ni nguvu kazi nzuri, wamefunzwa maadili JKT ni vijana wazuri kwa Taifa wamefunzwa uzalendo, hawana cha kufanya.
Kazi ni kuhamia "Twitter Republic" watutukane kule na tunastahiki kwa sababu tumewasomesha hawana kazi za kufanya.
Leo hili mlilolifanya, vijana wanatoka JKT mnawadaka mnawafundisha, tunawawapatia nyenzo wanakwenda kujitegemea ni jambo kubwa sana. " - Rais Samia Suluhu Hassan
Chanzo: Clouds TV
Riisiramu rinatufanya wajinga.Bila bandar kurudi ni porojo.
Acha bangi.Riisiramu rinatufanya wajinga.
Rikristo lisilo na akiriRiisiramu rinatufanya wajinga.
Bangi haina dini, hatutaki bandali zetu yapewe maisiramu.Acha bangi.
Punguza kuingiza Uislam kila mahali mkuu. Hauwezi kuchangia kitu bila kunasibisha na dini?Riisiramu rinatufanya wajinga.
"Tunastahili" hili ni pigo kubwa kwa machawa wote humu!!"Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu.
Lakini ni nguvu kazi nzuri, wamefunzwa maadili JKT ni vijana wazuri kwa Taifa wamefunzwa uzalendo, hawana cha kufanya.
Kazi ni kuhamia "Twitter Republic" watutukane kule na tunastahiki kwa sababu tumewasomesha hawana kazi za kufanya.
Leo hili mlilolifanya, vijana wanatoka JKT mnawadaka mnawafundisha, tunawawapatia nyenzo wanakwenda kujitegemea ni jambo kubwa sana. " - Rais Samia Suluhu Hassan
Mimi musomi, unafikili mimi mujinga kama miisiramu.Rikristo lisilo na akiri
Maasikofu wetu wameenda shure, si uriona mkutano wetu temeke?Punguza kuingiza Uislam kila mahali mkuu. Hauwezi kuchangia kitu bila kulinasibisha na dini?
Msomi gani haujui kuandika, au we ni msomi wa Burundi huko?Mimi musomi, unafikili mimi mujinga kama miisiramu.
Eti ata ikikojoa inakaa, ikinya si inarara kabisa.
"Kujua chanzo cha tatizo ndio mwanzo wa kupata majawabu". - Jakaya Kikwete.Kutambua kuwa kuna tatizo fulani ni mwanzo mzuri wa kupata suluhisho au utatuzi wa tatizo.
Kongole kwa hili Mh. Rais SSH.
Utaharibu hali ya hewa mzeeRiisiramu rinatufanya wajinga.
Nakuunga mkono kwa comment yako ukilinganisha na title ya uzi.Punguza kuingiza Uislam kila mahali mkuu. Hauwezi kuchangia kitu bila kulinasibisha na dini?
Mama huwa namwelewa sana. Ni msema ukweli."Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu.
Lakini ni nguvu kazi nzuri, wamefunzwa maadili JKT ni vijana wazuri kwa Taifa wamefunzwa uzalendo, hawana cha kufanya.
Kazi ni kuhamia "Twitter Republic" watutukane kule na tunastahiki kwa sababu tumewasomesha hawana kazi za kufanya.
Leo hili mlilolifanya, vijana wanatoka JKT mnawadaka mnawafundisha, tunawawapatia nyenzo wanakwenda kujitegemea ni jambo kubwa sana. " - Rais Samia Suluhu Hassan
Huyo jamaa anayetingishs kichwa muda woote utadhsni yuko serious,😅😅"Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu.