Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

Marais wengine nao ni hopeless pia maana nao nchi zao zinaathirika na kupanda bei ya mafuta baada ya vita ya Urusi. Joe Biden mmoja wao pia.
Biden,ameisha toa akiba ya mafuta kuweka kwenye mzunguko, Ili kupunguza makali na mfumuko wa bei, sasa Huyu wa kwetu ana solution Yeye ni kupuyanga tu, baada ya kusovu matatizo ya wananchi wake, kesho kutwa kutwa utasikia anafanya ziara India hopeless kabisa
 
Serikali inatakiwa kutafakari namna ya kupunguza madhara yanayotegemewa.

Lakini sina imani kama serikalini kuna thinktanks wanaoweza kuja na mikakati ya nchi kukabiliana na hali inayotarajiwa.
 
Kule zanzibar jamaa anazungusha mabati tu kila kona ujenz hauonekani na miripuko ya bei haisemeki
 
Kuna kitu kinaitwa global au international
political economy. Inaeleza ni namna gani siasa za dunia kwa wakati husika zinaweza kuendesha uchumi wa dunia au ni namna gani uchumi wa dunia unaweza kuendesha siasa za dunia. Ni muhimu kuelewa mantiki ya alichokisema Mhe. Rais. Kuhusu bei angalizo ni la msingi na wala halimaanishi hakuna udhibiti.

Mfano, ni petrol na dizeli kama ingepaswa kupanda kama bei ktk soko la dunia ilivyo basi isingekuwa kama hivi kwetu . Ila Serikali iliondoa tozo kupunguza makali ya bei ya mafuta. Hapa ni kwa GTs , tumuelewe Mhe. Rais na watu watumie lugha ya staha kujadili. Hakusema kama hakutakuwa na udhibiti; ila ni FACT BEI ZA BIDHAA NYINGI ZENYE MNYORORO WA KIMATAIFA ZITAPANDA KWA KINACHOENDELEA KATI YA URUSI NA UKRAINE. Swali ni kiasi gani ndipo Serikali inapocheza vema kupunguzia wananchi makali.🙏🙏🙏
 
Umetumwa kuja kumtetea..kiufupi hakuna mikakati wanalialia tu..nchi imewashinda..wamewekeza kwenye propaganda za kusifu na kuabudu..na kuacha misingi za kujenga mifumo imara ya kiuchumi...hii nchi viongozi wake wamelaaniwa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tanzania sio nchi peke yake itakayoathirika na kupanda kwa bei ya Mafuta Duniani lakini kila nchi itaathirika kivyake kutokana na Jinsi nchi zitakavyotekeleza sera za kujihami na janga hilo. Samia anatakiwa awaelekeze watu wake waitishe kongamano la wataalam wa taaluma mbali mali wakiwemo wachumi , wanasheria , wahasibu etc bila ubaguzi ili wakutane na kujadili Jinsi gani tunaweza kujizatiti dhidi ya hali itakayotukabili na kuishauri serikali ipasavyo. Washauri wa Rais serikalini peke yao hawawezi kuja na ushauri makini!!

Katika vita hii nchi mbali mbali zitaweza kuibua fursa na kufaidika na vita vinavyoendelea. Je Tanzania haioni kuwa kuna fursa ambazo zitapatikana na mapigano hayo? Kama zipo basi kuna umuhimi wa serikali kuweka sera zitakazosaidia nchi kufaidika na fursa hizo upesi iwezekanavyo kabla mambo hayajabadilika! Nchi ina fursa nyingi lakini watu wanakula mshahara tu bila kuufanyia kazi!!
 
Taifa ambalo linakubali kuwepo bila Rais kama Tanzania lina laana.

Imagine nchi ina Rais hewa ambae muda wote yupo busy kutafuta chaka la kuficha uzembe,mauchafu pamoja na madhaifu ya Serikali yake.Hangaya is the inept hopeless leader.
Tuliwaambia toka mwaka jana mkasema anaupiga mwingi, haya ndio matokeo yake.

Subirini, na bado.
 
Hili nalo linapendaga kuropoka sana! Linafikri kila kitu ni cha kuzungumza hadharani? Sasa si ndio wanatoa baraka kwa wafanyabiashara kufanya yao?
 
Tungekua nae tangu Corona inaanza hii nchi isingekua inakalika kwa sasa, tungekua na maisha magumu sana zaidi ya haya.
 
Tz ni balaa mara 3
 
Maanake wameruhusiwa kupandisha vitu live
 
Putin mnamsingizia, bado supply ya gesi na mafuta kutoka urusi kwenda ulaya ipo palepale na hakuna alternative sources zozote ambazo nchi tajiri zimeweza kuzi exploit zikasababisha energy crisis kwa nchi nyingine.........labda kama anaota kwamba linaweza kutokea huko mbeleni. Nilichoona ni kwamba marekani jana wameweka ban mafuta na gesi kutoka urusi, lakini bado marekani siyo mtumiaji mkubwa wa mafuta na gesi ya kutoka urusi ukilinganisha na nchi za ulaya, anatumia kama asilimia 3 pekee...
 
Chuki zako ni bure... Mzazi mwenye akili hawezi kusema leo sina hela kwa hiyo tutashinda njaa, mzazi mwenye akili atasema subiria kidogo naenda kuwatafutia chakula... Bora uongo unaojenga kuliko ukweli unaobomoa...

Sasa kwa akili zako wewe unahisi Tanzania ni maskini, umaskini unaletwa na uongozi... Hata kwenye familia yenu mnaweza kuwa ni matajiri ila akikosekana mtu wa kuiongoza familia vizuri basi tegemea umaskini. JPM uwezi kumlinganisha na huyu mama, yule alijua kila kona ya serikali, sio huyu mama anapangwa tu kama mafungu ya nyanya nae anakubali tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…