Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

... ndio tunaelekea kwenye genetically modified foods au?
Fortify= Kuongeza virutubisho adimu kwenye vyakula au vitu vya vyakula. Chumvi imeongezwa iodine na tatizo la utaahira unaotokana na ukosefu wa Iodine limetokomezwa!
Vile vile Mafuta/siagi imeongezwa vitamin A na D.
Siyo jambo baya! Ni tofauti na GMOs!
 
Supu ya pweza ni real.Mama hawezi tu.
 
Acha utoto supu ya pweza inaongeza uzito wa manii sio kusimamisha dushulele..
 
Yaani alipelekewa moto Sana baada ya kupakiwa mkongo sio!?

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba MPYA"
 
Duh wanaume wa Dar mnapiga pweza mpk bi. Mkubwa amesikia taarifa zenu.

Mheshimiwa Rais, kuna tatizo zaidi ya lishe duni
 
Chips yai inayokaangwa na mafuta ya Transfoma ukiila sana lazima iue shafti.

Samia amenifurahisha sana bado Katiba mpya tu😂😆
 
Ndio raha ya kuwa na Raisi Mwanamke anatupa ukweli.

Hapa tu Temeke ukipita chocho unakuta maganda ya Erecto 100 yamezagaa kila mahala, Mungu alisaidie hili Taifa.
 
Of course ni sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…