Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 30, 2022 #121 imhotep said: Samia mtoto wa mjini,sio kama yule mshamba wa kijijini. Click to expand... Bila kusahau supu ya pweza ya kizanzibar...haya yote ameyaishi🤣🤣🤣
imhotep said: Samia mtoto wa mjini,sio kama yule mshamba wa kijijini. Click to expand... Bila kusahau supu ya pweza ya kizanzibar...haya yote ameyaishi🤣🤣🤣
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 30, 2022 #122 Mabogo Jr said: ndomaana anaelewa kazi ya mundende...lazima mvua imesha mnyea aseee Click to expand... Lazima mambo ya kawaida kaona tofauti ya Vijana wa Msumbiji na haya Mazezeta ya Dar.
Mabogo Jr said: ndomaana anaelewa kazi ya mundende...lazima mvua imesha mnyea aseee Click to expand... Lazima mambo ya kawaida kaona tofauti ya Vijana wa Msumbiji na haya Mazezeta ya Dar.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 30, 2022 #123 Glenn said: Bila kusahau supu ya pweza ya kizanzibar...haya yote ameyaishi🤣🤣🤣 Click to expand... Alkasusu yenyewe si haba.
Glenn said: Bila kusahau supu ya pweza ya kizanzibar...haya yote ameyaishi🤣🤣🤣 Click to expand... Alkasusu yenyewe si haba.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 30, 2022 #124 imhotep said: Alkasusu yenyewe si haba. Click to expand... Waswahili wana mengi bro🤣
M Mateo Kovasic JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 420 Reaction score 334 Sep 30, 2022 #125 Hziyech22 said: Mkuu kwani mkuu wa nchi apitiagi mitandano? Hiv nikikuuliza wewe umejuaje wakinadada wanafanywa nyuma utasemaje? Click to expand... Swali zuri
Hziyech22 said: Mkuu kwani mkuu wa nchi apitiagi mitandano? Hiv nikikuuliza wewe umejuaje wakinadada wanafanywa nyuma utasemaje? Click to expand... Swali zuri
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 30, 2022 #126 Mleta mada mwenyewe ni Sildenafil Citrate 🤣😂🤣😂😆😉😉
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 30, 2022 #127 Glenn said: Chezea mkongo wewe?🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Halafu Arusha wana Mkongoraa kwahiyo tusiwaseme Wanaume wa Dar peke yao hata wa Arusha Sijui huko Mwanza kama na wao ni Wazee wa kuboost😁
Glenn said: Chezea mkongo wewe?🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Halafu Arusha wana Mkongoraa kwahiyo tusiwaseme Wanaume wa Dar peke yao hata wa Arusha Sijui huko Mwanza kama na wao ni Wazee wa kuboost😁
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 30, 2022 #128 imhotep said: Halafu Arusha wana Mkongoraa kwahiyo tusiwaseme Wanaume wa Dar peke yao hata wa Arusha Sijui huko Mwanza kama na wao ni Wazee wa kuboost😁 Click to expand... I dont think kuwa mkongoraa una maajabu ni uzushi tu. Mimi huwa nautafuna kwa kupenda ule ukakasi flani. Nimeujaribu kama mara 3 sikuhisi chochote tofauti na nilivyo. Mwanaume kutumia booster kutakuondolea kujiamini usipokuwa na hiyo booster
imhotep said: Halafu Arusha wana Mkongoraa kwahiyo tusiwaseme Wanaume wa Dar peke yao hata wa Arusha Sijui huko Mwanza kama na wao ni Wazee wa kuboost😁 Click to expand... I dont think kuwa mkongoraa una maajabu ni uzushi tu. Mimi huwa nautafuna kwa kupenda ule ukakasi flani. Nimeujaribu kama mara 3 sikuhisi chochote tofauti na nilivyo. Mwanaume kutumia booster kutakuondolea kujiamini usipokuwa na hiyo booster