figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi.
Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena?
Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na Upigaji. Yote ni kufanya Rais Samia 2025 apate upinzani mkubwa kwa wananchi kwamba hajafanya kitu.
Kuna siku Hayati Magufuli alimwambia hivi Waziri Majaliwa;
"Watu wanataka popularity, wengine nilisikia wanasema watachomewa nyumba, nilimwambia Waziri Mkuu nataka nione wakifanya fujo. Ningewapa kipigo. Tena ningeanza kwenye jimbo lake kama kuna shangazi zake ningeanza kupiga hao. Nasema ukweli wala sifichi".
Leo ndo nimeelewa kwanini Magufuli angeanza na Shangazi zake Majaliwa, Je, Waliotaka kufanya fujo walitumwa na Majaliwa?
Ni aibu sana rais anamteua Waziri halafu huyo Waziri anashiriki kumuhujumu Rais aonekane hafai aunekane hakupaswa kuwa rais.
Kosa lilianza siku ya kwanza Rais Samia anaingia Madarakani, alitakiwa avunje baraza la Mawaziri.
Kassim Majaliwa aambiwe achague moja. Kuwa Waziri Mkuu, Mfanyabiashara au Mgombea Urais.
Kwa Wasiojua, Waziri Mkuu ndo Rais wa Tanganyika ndo maana hutasikia Majaliwa kaenda Zanzibar.
Majaliwa Katusaliti Watanzania. Kafanya maisha yawe Magumu. Mawaziri wanamdharau Rais lakini yeye anakunywa nao Juice. Majaliwa hana Utu wala Huruma.
Natamani kuona kikosi kazi kikiundwa kuchunguza ni nani mwenye Makampuni yanayonunua Korosho Tanzania na Wamiliki wawekwe wazi. Sio mtu anamtumia shangazi kuanzisha kampuni kwa mgongo wa nyuma. Tuambiwe Mmiliki wa Alfa Namata company ltd, Sibatanza company ltd na Eljai Commodities Company ltd. Halafu tuambiwe wanatoa wapi kiburi cha kuwanyonya wakulima.
Waziri Mkuu ndo Msimamizi Mkuu wa Maafa sababu Idara ya Menejimenti ya maafa ipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu lakini hutoona anasaidia. Sitazungumzia Msaada ya Korona na Tetemeko Kagera kwamba zililiwa.
Waziri Mkuu yapo mengi mazuri amefanya lakini ili kujenga utaifa na kujisafisha kama nchi mbele ya Dunia, apangiwe kazi nyingine.
Baraza la Mawaziri Livunjwe ili Lisukwe upya kwa maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa.
Samia akicheka na nyani atavuna Mabua.
Rais Mwinyi alijiuzulu mwenyewe ili kutompa lawama rais Nyerere. Hawa wengine sababu wana nia zao, kwanza ndo wanafurahia matatizo ya Watanzania mfano Ukosefu wa maji na Umeme. Sema wamejitahidi kumumudu Rais Samia, Wanampanga anapangika sijui bwawa la Kidunda🤣🤣