Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

a


akivunja hao atakawateua watatoka mbinguni au watakuwa wale wale wa CCM?kama ndo hao hao unategemea kutakuwa na badiliko gani?unamtoa chui unamteua simba wapi na wapi.tutafute kwanza katiba ya wananchi ambao itaharmonize hayo mambo.
 
a




akivunja hao atakawateua watatoka mbinguni au watakuwa wale wale wa CCM?kama ndo hao hao unategemea kutakuwa na badiliko gani?unamtoa chui unamteua simba wapi na wapi.tutafute kwanza katiba ya wananchi ambao itaharmonize hayo mambo.
Kuna ahueni kwenye kila mwanzo mpya. Wapo wanaomudu hiyo nafasi.
 
Hili ombi likitekelezeka mnistue…
Mazingira
Fedha
Nishati
Habari
Wakitoka hawa basi utabiri utatimia
Kila MTz akiamua kuteua anayempenda yeye kuwa waziri basi hii nchi itakuwa ya wendakuzimu.

Kila siku maneno maneno tu hakuna anayeridhika
 
Baada ya kuvunja hilo baraza na kumteu waziri mkuu mwingine, una ndugu yako ndio unmwombea ateuliwe. familia za wapigaji mnanyoloshwa vibaya mpaka wivu unawashika pabaya.
 
acha upumbavu na chuki za kike nenda kaolewe, majaliwa kafanya nini huna hata point ya kuleta huna ushahidi majaliwa kafanya nini? wewe huna akili utamfananisha majaliwa na kiongozi gani hapa tanzania waliobaki majaliwa ni kipenzi na mategemeo ya wengi ndie rais ajae, huyo mama yako utamfananisha na majaliwa kwa uongozi bora? aaawapi hamfikii hata robo
 
PM hana shida na wala hajawahi tuhumiwa kwa upigaji - huyu ni kiongozi mahiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…