MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
🤭🤭🤭Tunakulaani Maboyo kwa kujifanya unalinda katiba!
Katiba ipi uliyokuwa unailinda?
Analinda nchi ama anaficha aibu kwa kesi ya kubumba?Huyo ni mkuu wa Nchi! Analinda Nchi!!
Kibibi kimenogewaaa .
Haikubalikii kila saa kutajataja vyombo vya usalama vyombo vya usalama..nyooo
Mbona mmeshamwambia sana haitoshi?Tell her to resign.
Mbona mmeshamwambia sana haitoshi.
Kesi si iko mahakamani? Sasa mbwembwe zanini?Analinda nchi ama anaficha aibu kwa kesi ya kubumba?
Atawehuka hapa bado; alikuwepo Magufuli awe yeye na vimatege vyake??Siongezi neno!
View attachment 3339080
Huyu kifo kimemkaribia sanaaSiongezi neno!
View attachment 3339080
Maza amekasirika yaani amevurugwa.Siongezi neno!
View attachment 3339080
Kesi iko mahakamani kila siku uchunguzi unaendelea na walisema ushahidi uko mitandaoni. Ni ushahidi gani tena unatafutwa hadi kesi isianze? Ni hivi, NRNE ndio inahujumiwa kwa hizo mbinu za kizamani.Kesi si iko mahakamani? Sasa mbwembwe zanini?
Mama Kachanganyikiwa vibaya sana!Siongezi neno!
View attachment 3339080