CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mshangazi anaelekea kuumaliza mwendo wake kwa fedheha kubwa sana.Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la
2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka kila linapotokea jambo la uvunjifu wa Amani.
"Tusiwe Shamba la Bibi kwamba kila mtu anaweza kuja na kusema anachokitaka...lakini la pili tumeona mtiririko wa wanaharakati ndani ya region yetu hii kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia huku" ~ Rais Samia.
Mdomo uliponza kichwaRAIS SAMIA: HATUTATOA NAFASI KWA KIUMBE YOYOTE KUJA KUTUHARIBIA NCHI YETU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezielekeza Wizara zinazohusika pamoja na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kutoa ufafanuzi au kukanusha haraka matamko mbalimbali yenye nia ovu yanayotolewa na wanaharakati mbalimbali dhidi ya Tanzania.
Rais Samia amezungumza hayo katika uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024) uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo Mei 19, 2025.
"Tumeanza kuona mwenendo wa wanaharakati wa ukanda wetu kuanza kuingilia na kuvamia mambo yetu, sasa kama kwao wamedhibitiwa, wasije kutuharibia huku" - amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aidha, Rais Samia amesema kuwa baadhi ya wanaharakati walishaharibu kwao, walishavuruga kwao, nchi iliyobaki haijaharibika, watu wako na amani, usalama na utulivu, ni hapa kwetu, hivyo tusitoe nafasi kwa kiumbe yoyote kuja kuharibu nchi yetu.
SAMIA: HATUTATOA NAFASI KWA KIUMBE YOYOTE KUJA KUTUHARIBIA NCHI YETU

Enzi ya JPM kulikuwa na wakuu wa mikoa ambao waliokuwa wanatoa kauli kali dhidi ya Kenya, lakini yeye alichagua kuwa kimya na kufanya mazungumzo na kiongozi mwenzie kiutuuzima kwa njia ya mtandao kisha mtasikia hilo suala wamelimaziza.Mshangazi anaelekea kuumaliza mwendo wake kwa fedheha kubwa sana.
Imamaana watazuia wasimamizi wa kimataifa hawataruhusiwa katika uchaguzi wa October 🤣🤣🤣Umeleta hoja ya kuwa watu wengine kuingia nchi nyingine na kutaka kupata ushawishi kwa context hiyo ndio nikaitaja FRELIMO.
FRELIMO , mizizi yake ni watu wa Mozambique na iliundwa Dar es Salaam 1962 na makao yake makuu yalikuwa hapo hapo Dar es Salaam lengo kuu lilikuwa ni kupigania uhuru /ukombozi wa Mozambique.
Tukija katika point yangu kwanini nimeiweka FRELIMO, sababu Nyerere alisema hatuwezi kusema tuko huru na majirani hawapo huru.
Kwa sasa Kenya ndio nchi pekee iliyoonekana ni walau salama kwa Africa mashariki kupokea hata wakimbizi wa kisiasa waliokimbia vitisho vya tawala dhalimu.
Naweza kutoa mifano miwili tu ambayo ni kwa Lema & Maria Sarungi hata Lissu on transit akiwa katika matibabu alitokea Kenya , kwa zamani ni Oscar Kambona.
Sasa nikisikia unasema wanaharakati/wanasheria wanakuja kutetea mambo ya Tanzania ni kosa sijui unamaanisha nini hasa.
Martha Karua ni senior counsel ,ni member wa LSK na EALS kuja kusikiliza kesi ya uhaini kunakuwa na kosa gani?
Kama Tanzania tuliikomboa Mozambique kupitia Dar es Salaam kuna shida gani hao majirani wakija kusikiliza kesi na kutoa maoni yao kama wataalam wa sheria , Tanzania mnaficha kitu gani?
Mkileta hoja ya kuingilia uhuru inakuwa sio kweli sababu hawa watu wataruhusiwa kusikiliza na kutoa maoni hii ni haki ya kikatiba ila hawatohusika kutoa maamuzi.
Nauliza tena Tanzania mnachoficha ni nini kwenye hii kesi?
Ukishauriwa vibaya na mtu mbaya kitabia na unajua ni mbaya,basi zuzu ni mshauriwa.Anashauriwa vibaya.
KimenukaMwangalizi wa mwenendo wa kesi wakili msomi kutoka Senegal, Comoro na France afunguka Kisutu leo 19 May 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=3VPsiWcnzSA
Shukran kwa ufafanuzi wako.Umeleta hoja ya kuwa watu wengine kuingia nchi nyingine na kutaka kupata ushawishi kwa context hiyo ndio nikaitaja FRELIMO.
FRELIMO , mizizi yake ni watu wa Mozambique na iliundwa Dar es Salaam 1962 na makao yake makuu yalikuwa hapo hapo Dar es Salaam lengo kuu lilikuwa ni kupigania uhuru /ukombozi wa Mozambique.
Tukija katika point yangu kwanini nimeiweka FRELIMO, sababu Nyerere alisema hatuwezi kusema tuko huru na majirani hawapo huru.
Kwa sasa Kenya ndio nchi pekee iliyoonekana ni walau salama kwa Africa mashariki kupokea hata wakimbizi wa kisiasa waliokimbia vitisho vya tawala dhalimu.
Naweza kutoa mifano miwili tu ambayo ni kwa Lema & Maria Sarungi hata Lissu on transit akiwa katika matibabu alitokea Kenya , kwa zamani ni Oscar Kambona.
Sasa nikisikia unasema wanaharakati/wanasheria wanakuja kutetea mambo ya Tanzania ni kosa sijui unamaanisha nini hasa.
Martha Karua ni senior counsel ,ni member wa LSK na EALS kuja kusikiliza kesi ya uhaini kunakuwa na kosa gani?
Kama Tanzania tuliikomboa Mozambique kupitia Dar es Salaam kuna shida gani hao majirani wakija kusikiliza kesi na kutoa maoni yao kama wataalam wa sheria , Tanzania mnaficha kitu gani?
Mkileta hoja ya kuingilia uhuru inakuwa sio kweli sababu hawa watu wataruhusiwa kusikiliza na kutoa maoni hii ni haki ya kikatiba ila hawatohusika kutoa maamuzi.
Nauliza tena Tanzania mnachoficha ni nini kwenye hii kesi?
CCM kumpa tena urais Samia ni kosa kubwa sana na litaigharimu nchi Big time.Enzi ya JPM kulikuwa na wakuu wa mikoa ambao waliokuwa wanatoa kauli kali dhidi ya Kenya, lakini yeye alichagua kuwa kimya na kufanya mazungumzo na kiongozi mwenzie kiutuuzima kwa njia ya mtandao kisha mtasikia hilo suala wamelimaziza.
Kinachotokea sasa sio ajali na wala sio isivyo bahati ila ni kanuni matendo huzaa kilichosababisha kutenda. Tanzania imejitengenezea yenyewe maadui watano bila kuchokozwa na yeyote ambao ni: Lilolngwe, Capetown (Rejea vitisho vya waziri wa kilimo), Kigali (mambo ya M23 huko Goma DRC), Kampala na Nairobi uizi kwa wanasheria na jaji mwandamizi kuhudhuria kesi ya TAL) heading to the abyss of death!
Mbona hata yeye mgeni?𝐎𝐍𝐘𝐎 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐆𝐄𝐍𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐎𝐓𝐔𝐌𝐈𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐉𝐀 𝐊𝐔𝐇𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mambo ya Nje, Wizara ya Mambo ya Ndani na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchukua hatua za haraka kwa wanaotumia mitandao na teknolojia vibaya, akikemea pia wingi wa Wanaharakati kutoka nje ya nchi wanaojaribu kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania na kutaka kuivuruga amani.
Rais Samia amesema hayo Jijini Dar es salam leo May 19, 2025 wakati akizindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024), ambapo amesema hatotoa nafasi kwa watovu wa adabu kutoka nje ya nchi kuja kujaribu kuvuruga amani, utulivu na usalama uliopo nchini Tanzania.
“Tusiwe shamba la Bibi kwamba Mtu anaweza kuja Tanzania akasema analolitaka, lipo Tanzania halipo, Watu wakajisemea tu, tumeanza kuona mwenendo wa Wanaharakati ndani ya Ukanda huu kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku, sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia, tusitoe nafasi walishavuruga kwao, nchi iliyobaki haijaharibika ni hapa kwetu, niwaombe Vyombo vya Ulinzi na Usalama kutotoa nafasi kwa Watovu wa adabu wa nchi nyingine kuja kutovuka hapa kwetu, hapana”
“Nimeona clip kadhaa za kunisema, nipo bias na nini, ninalofanya ni kulinda nchi yangu na ndiyo wajibu wangu niliopewa, kwahiyo hatutotoa nafasi kwa kiumbe yeyote kuja kutuvurugia hapa awe yupo ndani ama anayetoka nje”
Katika maelezo yake, Rais Samia ameitaka Wizara na Maafisa wanaohusika kutoa ufafanuzi kuhusu yale yanayosemwa na Wanaharakati na Watu mbalimbali, kukanusha ama kuchukua hatua za haraka ikiwa yanayosemwa yana ukweli kuhusiana na sekta zao mbalimbali.
Acha ujinga! Kama hakubaliki akae kimya!Natamani angekuwepo JPM hawa angewashughulia sijui wanaharakati, walitaka kumpanda huyu Mama lakini sasa hii kauli ikafanywe kwa vitendo. Ujinga huko
Na wewe mwisho wako utakuwaje?Kumbe mauaji yote yapo chini ya uratibu wake. Na yeye mwisho wake utakuwa wa aibu
Waanze na wewe Mnyarwamda unaleta uanaharakati TZ lakini kwenu Rwanda PK anawachinja kama ng'ombe!Mama anataka kuifanya Tanzania kuwa GEREZA ili aendelee kutunyongea humu humu ili DUNIA isijue.
View attachment 3339226
View attachment 3339225
View attachment 3339224
Kwa Neema za Yesu, naamini utakuwa mwisho mwema na wa amaniNa wewe mwisho wako utakuwaje?